Brother nina mama yangu,ambaye hata nisipomuita mpendwa haibadilishi dhana kwamba nampenda sana, nina dada yangu Lightness ambaye nilimuahidi kusimama naye bega kwa bega na kwamba ningekuwa mtu wa mwisho kumchoka baada ya ulimwengu mzima kumkataa...
Namfahamu Mwenyezi Mungu,ambaye alitumia muda wake adhimu kunipa pumzi hii ya uzima,nina wadogo zangu mtaani ambao kwa namna moja ama ningingine nimekuwa roll model wao kwenye aspects tofauti tofauti, nina Rose wangu huyu ambaye pamoja na uamuzi aliouchukua nadhani ataumia sana akijua nimejidhuru kwa sababu yake,na kwa kuwa nilimwahidi kwamba nisingependa kushududia akidondosha chozi kwa sababu yangu...,
Sasa basi najaribu kureview nakala ya sababu zinazonifanya nifikirie kujiua,ili nijikatie rufaa mwenyewe kwenye mahakama ya rufani ya mapenzi kisha nafsi ikishinda moyo nisitishe uamuzi wa kujiua na kama itaonekana niliviolet vifungu vya sheria wakati wa uamuzi wa kuijiua basi Rose anihukumu kwa kunirudisha kwenye kifungo cha kumpenda maisha!
Unajua hata kama amechukua mahali, je wewe hujawahi ona maneno ambayo ukaona haya yameelezea kabisa hali au hisia zangu zilivyo. Tunavyonunua kadi zenye maneno ndio maana huwa tuinayasoma yale maneno na kuona nikimpahuyu kadi hii hivi ndivyo nilivyotaka kumueleza? je huwa tunafanya Plagiarisms ?( samahani kwa SP) hata kama amecopy nadhani kijamii tumeruhusiwa, wanasheria nisahihisheni. Mimi kuna mtu alinipa kadi ya Thanks ( I wish angekuwa baba Yoyo), nilisoma yale maneno mpaka leo nimiihifadhi kadi hiyo! Cha muhimu nadhani si kosa, nia yake ni kufikisha hisia zake. Na nimesoma maelezo yake ya baadae nimeelewa kwa nini alichukua yale maneno!Mkuu je ni kweli umeiba hii kitu sio original work of yours? Ebu fafanua maana plagiarism ni wizi
Unajua hata kama amechukua mahali, je wewe hujawahi ona maneno ambayo ukaona haya yameelezea kabisa hali au hisia zangu zilivyo.
Tunavyonunua kadi zenye maneno ndio maana huwa tuinayasoma yale maneno na kuona nikimpahuyu kadi hii hivi ndivyo nilivyotaka kumueleza? je huwa tunafanya Plagiarisms ?
( samahani kwa SP) hata kama amecopy nadhani kijamii tumeruhusiwa, wanasheria nisahihisheni.
Mimi kuna mtu alinipa kadi ya Thanks ( I wish angekuwa baba Yoyo), nilisoma yale maneno mpaka leo nimiihifadhi kadi hiyo! Cha muhimu nadhani si kosa, nia yake ni kufikisha hisia zake. Na nimesoma maelezo yake ya baadae nimeelewa kwa nini alichukua yale maneno!
Unajua hata kama amechukua mahali, je wewe hujawahi ona maneno ambayo ukaona haya yameelezea kabisa hali au hisia zangu zilivyo. Tunavyonunua kadi zenye maneno ndio maana huwa tuinayasoma yale maneno na kuona nikimpahuyu kadi hii hivi ndivyo nilivyotaka kumueleza? je huwa tunafanya Plagiarisms ?( samahani kwa SP) hata kama amecopy nadhani kijamii tumeruhusiwa, wanasheria nisahihisheni. Mimi kuna mtu alinipa kadi ya Thanks ( I wish angekuwa baba Yoyo), nilisoma yale maneno mpaka leo nimiihifadhi kadi hiyo! Cha muhimu nadhani si kosa, nia yake ni kufikisha hisia zake. Na nimesoma maelezo yake ya baadae nimeelewa kwa nini alichukua yale maneno!
Acha kutetea uizi bana. Kama aliona hayo maandiko yanaelezea hali yake kwa nini asiseme alipoyatoa hayo maneno? Angepungukiwa na nini kama angesema 'haya maandishi, kwa hisani ya fulani na fulani yanaelezea uhalisia au yanashabihiana na hali niliyoipitia'? Mbona mnataka kuhalalisha uhalifu nyie watu?
Mtu mwingine ajipinde kuandika kitu halafu wewe ukiokote huko na kuja kukibandika hapa bila kusema ulipokiokota halafu bila hata haya unapokea heko na pongezi kana kwamba wewe ndo umeandika kumbe umenakili tu ya wengine! Hiyo si sawa hata kidogo.
Mfano wako wa kadi wala hauhusiki kabisa. Kadi unayoinunua umeshawahi kuichunguza wewe?
Bollocks! Acha ujinga wa kutetea mambo ya kijinga wewe. Kijamii mmeruhusiwa na nani kuiba kazi za wengine na kuzi pass off kama zenu? Ndo mnavyodanganywa na hao wanasheria wasomi wenu huko?
Una kiwango gani cha elimu wewe?
Ngabu namheshimu wala sipendi kulumbana naye kama ni mjuvi sana wa sheria aisaidie serikali kujinasua katika mikataba kandamizi inayoingizwa kingi kila kukicha ili wananchi wafaidike..hii ni personal matter, labda wengine wanashushwa tu toka mbinguni na huwa hayawapati!
Hahaaaaa mimi ujuvi wa sheria niutoe wapi bana wewe? Usomi wa sheria ntauwezea wapi miye mbeba maboksi na elimu yangu ya fom foo?
Wajuvi wa sheria wamesoma spesho skul za vipaji maalumu. Mimi nasoma kwenye shule ya maisha ambayo ilmu yake haina mwisho.
Na kwenye hiyo ilmu yangu ya maisha nimefunzwa uungwana na moja misingi ya uungwana ni kutambua wengine na vilivyo vyao. Wewe hilo hukufanya.
Na sitalifanya purposely...
Kama huwezi kufanya hivyo kwa makusudi basi kuwa muungwana na rekebisha hilo bandiko lako kwa kuweka wazi ulipoyatoa hayo maandiko.
Rudia maelezo yangu ya awali...
My girlfriend left me for another man uuuuw!
Navyompenda huyu binti naomba umwambie MC atangaze kwamba nimekufa kwa ngoma ili jamaa aogope kumgusa...please madam, nitaagiza mweka hazina wa kamati akupe laki...
Shut up! Kiwango cha elimu kina uhusiano gani na topic hii. Hebu wewe kwanza uliyokimbia nchi yako elezea kiwango chako cha elimu. By the way who are you to ask me about my level of education. Inahusu nini hapa? Wewe vitu vyote unavyoandika ambavyo ulivyokopi huwa unaandika source? Kwani anaandica academic paper? Mistuzingue nama styreo type yawazungu hapa!Acha kutetea uizi bana. Kama aliona hayo maandiko yanaelezea hali yake kwa nini asiseme alipoyatoa hayo maneno? Angepungukiwa na nini kama angesema 'haya maandishi, kwa hisani ya fulani na fulani yanaelezea uhalisia au yanashabihiana na hali niliyoipitia'? Mbona mnataka kuhalalisha uhalifu nyie watu?
Mtu mwingine ajipinde kuandika kitu halafu wewe ukiokote huko na kuja kukibandika hapa bila kusema ulipokiokota halafu bila hata haya unapokea heko na pongezi kana kwamba wewe ndo umeandika kumbe umenakili tu ya wengine! Hiyo si sawa hata kidogo.
Mfano wako wa kadi wala hauhusiki kabisa. Kadi unayoinunua umeshawahi kuichunguza wewe?
Bollocks! Acha ujinga wa kutetea mambo ya kijinga wewe. Kijamii mmeruhusiwa na nani kuiba kazi za wengine na kuzi pass off kama zenu? Ndo mnavyodanganywa na hao wanasheria wasomi wenu huko?
Una kiwango gani cha elimu wewe?
Shut up!
Kiwango cha elimu kina uhusiano gani na topic hii.
Hebu wewe kwanza uliyokimbia nchi yako elezea kiwango chako cha elimu.
By the way who are you to ask me about my level of education.
Inahusu nini hapa?
Wewe vitu vyote unavyoandika ambavyo ulivyokopi huwa unaandika source?
Kwani anaandica academic paper?
Mistuzingue nama styreo type yawazungu hapa!
I am sorry I cannot argue with you! Nimepotea njia!You can't shut me up you turtle looking ugly troll.
Kina uhusiano mkubwa tu.
Elimu yangu ni form four na nina PhD ya common sense kutoka School of Hard Knocks. Now what?
I'm Nyani Ngabu you muthaf----a. Your girlfriend's boyfriend.
Inahusu ujinga unaoutetea.
Ndiyo.
Hilo "anaandica" ndo dudu gani? Mende dudu?
That ain't even pig Latin. WTF!!!
I am sorry I cannot argue with you!
Nimepotea njia!
But you just did. You stupid or something?
Basi rudi ulikotoka.