My girlfriend left me for another man uuuuw!
Life is not always a bed of roses, but sometimes fate has to be part of our daily bread. Pole.
One thing that i believe in life is to be positive although is hard at the moment you are going thru a painful situation. Mkuu jitahidi kuupa moyo wako another chance , one day out there you might meet a good Samaritan who is gonna give a refuge for your heart and you will forget the past . Remember you are not the first/last person to go thru this , wengi walikutwa na yaliyokukuta lkn wali move on who knows lbd Mungu amekuandalia mtu mwema atakaethamini pendo lako. Jipe muda kwani time is a great healer.
kung'uta vumbi songa mbeleMy girlfriend left me for another man uuuuw!
Kwani sumu inakorogwa na maji ya moto?
Pole mwaya. Nahisi tu, na ni kawaida ya binadamu. Wakati unaonyeshwa mapenzi motomoto ulikuwa unatia pozi. Saa hizi umestukia shuka kushakuwa asubuhi.
Sweet poem though, but when a woman is fed up there is nothing you can do about it.
kung'uta vumbi songa mbele
oh my god!nimeumia moyoni wallahi!Pole sana,you spoke those words with so much pain from the depth of your heart....i sympathize with you!Love hurts...Learn or find a way to move on,you dont wanna be stuck on your past my dearest!Love hurts but its sweet too when you have it....I wish someone could love me tht way....I wish....I wish...
Songa mbele mkuu, usijiue, utapata mwingine mzuri zaidi ya huyo. Kunywa sumu hakuwezi kubadili nia na makusudi yake Rose aliyodhamiria, bado wengi wanakuhitaji e.g familia yako n.k. Muombe Mungu akupe mke wako, yule hakuwa wako alikuwa wa mwenzio.
Jana usiku nilikaa nikafikiria mambo mengi tuliyofanya pamoja, sikuona hata sehemu moja aliwahi kunikwaza,nikaenda mbali zaidi kwa kukumbuka moments nyingi tulizoshare pamoja, nakumbuka wakati pacha wake akiwa anasoma uongozi wa mahakama Lushoto,jinsi tulivyokuwa tunapunguza matumizi yasiyo ya lazima ili kumpa support shem wangu huyu..
Nakumbuka siku alivyonifariji kipindi mgogoro wa kifailia baina yangu na baba huku mama akishindwa kusimama upande wowote, nakumbuka alivyokuwa ananionea huruma wakati nikitumia muda mwingi kwenye meza yangu ya kuchorea (I'm Architect) Ndipo mara kwa mara akataka kusoma taaluma ambayo tutakuwa tunapeana kampan usiku niwapo studio ya kuchorea,naam akasomea ualimu!
Nakumbuka wakati ule nikiwa broke alivyokuwa anatumia hata boom lake (baada ya kubudget matumizi yake binafsi) na kunipatia ambapo nilikuwa namsupport nikiwa poa...nakumbuka alivyokuwa anapangilia vipaumbele vyangu na kuhakikisha nafanya yale ya msingi kwanza...Nakumbuka...Nakumbuka! But we are no longer together though hatukugombana!
Mmeachana kwasababu gani mkuu?Was there something that you did wrong?That was missing/lacking?Jana usiku nilikaa nikafikiria mambo mengi tuliyofanya pamoja, sikuona hata sehemu moja aliwahi kunikwaza,nikaenda mbali zaidi kwa kukumbuka moments nyingi tulizoshare pamoja, nakumbuka wakati pacha wake akiwa anasoma uongozi wa mahakama Lushoto,jinsi tulivyokuwa tunapunguza matumizi yasiyo ya lazima ili kumpa support shem wangu huyu..
Nakumbuka siku alivyonifariji kipindi mgogoro wa kifailia baina yangu na baba huku mama akishindwa kusimama upande wowote, nakumbuka alivyokuwa ananionea huruma wakati nikitumia muda mwingi kwenye meza yangu ya kuchorea (I'm Architect) Ndipo mara kwa mara akataka kusoma taaluma ambayo tutakuwa tunapeana kampan usiku niwapo studio ya kuchorea,naam akasomea ualimu!
Nakumbuka wakati ule nikiwa broke alivyokuwa anatumia hata boom lake (baada ya kubudget matumizi yake binafsi) na kunipatia ambapo nilikuwa namsupport nikiwa poa...nakumbuka alivyokuwa anapangilia vipaumbele vyangu na kuhakikisha nafanya yale ya msingi kwanza...Nakumbuka...Nakumbuka! But we are no longer together though hatukugombana!
una haki ya ku2hwa kwa kingereza hiki kibovu
Mmeachana kwasababu gani mkuu?Was there something that you did wrong?That was missing/lacking?
She loved you for really, but may be you did not show any signs of marrying her, may be she thought you might dump her ...but......
mmh!tabia ya kucopy story nzima unaboa.
I am sorry to say this but im sure she found something better in that other guy that you were missing....Katika watu ambao sikuwahi kukwaruzana nao ni huyu...pamoja na mambo yote bado tutaendelea kuwa marafiki, sina hakika kama sababu bi hii klakini wakati fulani alianza kujishughulisha sana na fellowships,ile ya kuamua hata kwenda kusali maporini alfajiri na baadye aliwahi kufunga kwa muda bila kula hali iliyomletea matatizo ya tumbo na kupelekea kuprospond mwaka wa masomo...halikuwa tatizo kwangu but mwanaume wake wa sasa seem ni mmoja kati ya wapendwa wenzie wa fellowship!
Kwa Tanzania hatuiti wizi, ni matumizi yasiyoridhisha ya sanaa ya uandishi...muhimu fuata content na karibu kwenye kikao cha msiba pale Hisaje Pub, kamati ya maandalizi ipo tayari, usafiri wa kufika ni juu yako ila vinywaji vipo, ni free