Horseshoe Arch
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 13,402
- 12,787
- Thread starter
-
- #61
I hope (kama kweli yupo) amekusikia.
Wanadamu kwa wivu bwana...ndiyo maana tukifa tunasahau hata kufunga macho!
Kama umeikwiba mahali s useme tu
Kama umeikwiba mahali s useme tu
Watu 8 umeingizwa town, huyu mtoa post anawafanyia drama. Hakuna feeling yeyote inayomuhusu, mwizi huyu ingekuwa academic publication unastahili kufungwa.Quote: Remember when i said i love you? i wasn't lying. Remember all ...
Orijino hyo hapo. Ulichofanya wewe ni kuedit tu. Shame on u
japo ni copy n paste
imeniacha speechless
OMG sorry about that. Wakati mwingine ni vigumu kujua sababu za mmoja ku-walk away from a relationship and sometimes we may think that it is the end of every good moments in life, kumbe hapana life is too big. Unapoumizwa mara nyingi macho huingia ukungu kiasi kwamba huoni mbele na unafikiri kila mlango kwenye maisha yako umefungwa which is not kweli kwani Life is so sweet.
One thing that i believe in life is to be positive although is hard at the moment you are going thru a painful situation. Mkuu jitahidi kuupa moyo wako another chance , one day out there you might meet a good Samaritan who is gonna give a refuge for your heart and you will forget the past . Remember you are not the first/last person to go thru this , wengi walikutwa na yaliyokukuta lkn wali move on who knows lbd Mungu amekuandalia mtu mwema atakaethamini pendo lako. Jipe muda kwani time is a great healer.
Ni ukweli ambao ni vigumu kukubaliana nao....mathalani wakati mnaanza safari ya pamoja kuna mambo ya kutack risk ila tunajipofusha!Maneno yako mazuri sana na yatatia moyo, ila jambo moja tu nimejifunza kwenye maisha
" Mtu yeyote, anaweza kufanya kitu chochote, wakati wowote, bila kujali chochote"
kwa hiyo kuwa positive lakini tegemea unexpected as well.
Thanks
Kama hali hiyo imemtokea (Kaachwa) na katika pitapita yake alikutana na hayo maneno, ni kosa kuyatumia kuelezea tukio lililomkuta? ........au wadau mpo ki hati miliki zaidi?.
Mtu akiwa na mawazo mazuri,ambayo una manufaa nayo kwa namna moja ama nyingine you have a moral obligation kushare na watu wengine
Mtu akiwa na mawazo mazuri,ambayo una manufaa nayo kwa namna moja ama nyingine you have a moral obligation kushare na watu wengine, sio lazima kwa scale ile ile! Isikupe taabu Nicas wee songa mbele,karibu kwenye harusi ya Rose naweza kuwa mwalikwa wa heshima pia!
Ukiamua ku share na wengine basi unataja ulikoitoa. Huo ndiyo uungwana. Lakini siyo kuiba vya watu halafu unajidai navyo kana kwamba ni vyako.
Tatizo huja acknowledge, mbona huelewi wewee? Kucopy na kupaste ndio WIZI na sio tatizo ikiwa utaonesha uungwana wa kuandika mwenye kazi ila wewe ni mwizi wa kazi ya mtu mwingine na kuamua iwe yako mbele ya wanaJf