cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,067
- 46,709
Pole sana hapo umeshajifunza sasa inabidi ukimpata kwenye upendo utulie naye maana mahusiano sikuhizi kizungumkutiKweli kabisa cariha, kuna watu wengine wana mapenzi ya kuoneana, kama hapo sasa niligundua mwenzangu alikua ananipenda kufa and I took her for granted! Najuta kwakweli