You can't fight for this love!!!?

You can't fight for this love!!!?

Kwa vile wanawake sisi tunawavumilia tukijua mtabadilika, na nyie hamkomi, eeeh tunaanzaga kujiandaa kisaikolojia taratibu mana unaona ukibaki unajiona huyu ananiona na mapungufu ndo mana hatuli, siku tukiamua ndo basi, mi watu nilio date nao walikuwa wananisumbua kweli ila tukiachana ndo huanza kunisumbua sumbua na Mimi moyo wangu huwa haurudi nyuma hata afanyeje?
Hiyo nguvu ya kutobembelezeka aliyowapa Mungu ni kubwa sana aisee na huwapagawisha sana wanaume na wengine ikawaletea madhara
 
Back
Top Bottom