Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,797
- 19,832
- Thread starter
-
- #121
Kwa heshima ya hiyo Avatar yako nakubali ushauri wako mkuuVitu vingine vinaokea naturally huwezi jua MUNGU alikuepusha na nini.
Jikubali songa mbele na huenda alikua wa mtu mwingine so wa kwako anakuja.
Pamoja mkuu kwa mfano kuna kipindi nilifanyaga kitu cha ajabu sana chuo nikawa najiuliza imekuaje nikafanya kitu kama hiki wakati nilishaapa sitakaa nifanye popote pale kwa sababu madhara yake ni makubwa?Kwa heshima ya hiyo Avatar yako nakubali ushauri wako mkuu
EemenPamoja mkuu kwa mfano kuna kipindi nilifanyaga kitu cha ajabu sana chuo nikawa najiuliza imekuaje nikafanya kitu kama hiki wakati nilishaapa sitakaa nifanye popote pale kwa sababu madhara yake ni makubwa?
Mkuu nilikuja kuelewa baadae MUNGU ni MUNGU na ndie anaekusukuma utende vitu ambavyo kwa akili yako ulishasema huwezi vitenda. Leo hii naona faida so jina la Bwana lihimidiwe.
Clueless mama njoo niokoe nimechoka wanawake wakatili mwisho nitakufa bure![emoji6]
That greatStay as beautiful, charming, lovely, intelligent, as you have always been Caroline......that's my wish for her
Hahaha pole pia na wewe.Kiburi na jeuri yangu viliniponza kwa mpenzi nikakosa mwana na maji ya moto
Nimeshapoa mkuu ila makovu bado yapo nikiyaangalia yananikumbushaa nisirudie kosaHahaha pole pia na wewe.
Anatuona wote sio sisi tuNa hamrudi nyuma hata! Ile kauli ya "tumetoka mbali mpenzi" tupa kule, Mungu Anawaona mjue🙂😉
Angalau sisi kuna kahuruma kanarudigi tukiombwa msamahaAnatuona wote sio sisi tu
Akuonyeshe dalili ili ujipange eeh!!? Hakuna hiyo..yamekukuta pambana tu na hali yako kama nilivyokua napambana wakati wa nyodo zakoTukipendwa tunazidisha nyodo, pole yetu mbona? Lakini ndio mtu aondoke ghafla tu kwenye mahusiano? Hata kama kachoka si aonyeshe japo dalili za kusepa
SemaaaaaNiseme umeomba namba kule?? Me bado ninayo hayajaisha japo nami nakupenda hivohivo
Halafu mlivyokua na kusudi huko mnapoenda mwezi wa kwanza tu mimba! Dadadeki..aaaghh natamani nimnase mtu kibao😱🙄Akuonyeshe dalili ili ujipange eeh!!? Hakuna hiyo..yamekukuta pambana tu na hali yako kama nilivyokua napambana wakati wa nyodo zako
HahahahaahHalafu mlivyokua na kusudi huko mnapoenda mwezi wa kwanza tu mimba! Dadadeki..aaaghh natamani nimnase mtu kibao😱🙄
Nimevuta pumzi ndeefu, halafu nilikua nimesimama ikabidi nikae chini nimejitonesha kidondaHahahahaah
Aisee pole kwa Mara nyingine buraza
Yatapita..amini atakuja mbora zaidi ya caroNimevuta pumzi ndeefu, halafu nilikua nimesimama ikabidi nikae chini nimejitonesha kidonda
Kasema nitulie tuSemaaaaa
Ntaanzia wapi kurudia ya Caro yna4!? Basi maneno yako yawe ni dua nimpate kama au kuliko CaroYatapita..amini atakuja mbora zaidi ya caro
Ila usirudie ya kwa caro
AmenNtaanzia wapi kurudia ya Caro yna4!? Basi maneno yako yawe ni dua nimpate kama au kuliko Caro