Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,795
- 19,825
- Thread starter
- #61
Ule ulikua ni uzembe uliotukuka, sezi rudia mkuu
Ule ulikua ni uzembe uliotukuka, sezi rudia mkuu
Basi madogo yamalizeni makubwa yaleteni ila kwa uwezo wake Mungu mabaya yatawaepukani kweli shemeji lakini lazima usikilize pande zote ili ujiridhishe, na mpaka tunafika kwako ujue tupo ICU tutajitahidi kwa uwezo wetu kuyamaliza wenyewe
i really love her
Niseme umeomba namba kule?? Me bado ninayo hayajaisha japo nami nakupenda hivohivoni kweli shemeji lakini lazima usikilize pande zote ili ujiridhishe, na mpaka tunafika kwako ujue tupo ICU tutajitahidi kwa uwezo wetu kuyamaliza wenyewe
i really love her
I am speechlessBasi madogo yamalizeni makubwa yaleteni ila kwa uwezo wake Mungu mabaya yatawaepuka
And I believe your love for her reciprocates back
Utampata tu tena muda si mrefu amini Mungu ni mwema mkuuAsante mkuu, nasubiria Caroline mwingine nimuheshimu kikomo cha kumheshimu na nijali hisia zake
mmh babe haya ni madogo unajua??Niseme umeomba namba kule?? Me bado ninayo hayajaisha japo nami nakupenda hivohivo
Najiuliza kwanini hua wagumu kurudisha nyuma nafsi zenu mkishasema "sasa basi", utafikiri sio yule alikua mnyonge na mpole na mtii kwako muda mfupi uliopita?Pole Sesten ilishawahi ntokea kama hiyo mpaka leo mjamaa anakuja home kupiga goti kulia lakini ndo ishatoka tena nayeye huwa hata haamini kama nimeweza msahau ana imani nitakuwa wake mbeleni
we babeI am speechless
Kwako weww madogo, mfano na mie nikaombe namba kwa mtu from no where niombe tu utafeel vipi?? Then try to fit in my shoes, halaf napata hasira mimimmh babe haya ni madogo unajua??
AmenBasi madogo yamalizeni makubwa yaleteni ila kwa uwezo wake Mungu mabaya yatawaepuka
And I believe your love for her reciprocates back
Mimi hapa babewe babe
Basi ndio hivyo dada shemeji akikosea uwe na moyo laini, moyo wa kike,moyo wa huruma na mapenzi, moyo wa kukumbuka ihsani mlofanyiana, umsamehe saba mara sabini. naye nimemuusia yakwakeI am speechless
I LOVE YOUMimi hapa babe
babe am sorry don be angry honey pleaseKwako weww madogo, mfano na mie nikaombe namba kwa mtu from no where niombe tu utafeel vipi?? Then try to fit in my shoes, halaf napata hasira mimi
Hahahaha kaka angu, ondoa shaka, hata ye ananijua vilivyo, tumeumbwa kusamehe na kusahau na kuganga yajayo, yote nayafanya na kuyatekeleza kaka angu usiwe na waswas niko kwenye mikono salamaBasi ndio hivyo dada shemeji akikosea uwe na moyo laini, moyo wa kike,moyo wa huruma na mapenzi, moyo wa kukumbuka ihsani mlofanyiana, umsamehe saba mara sabini. naye nimemuusia yakwake
I LOVE YOU TOO HuniepieI LOVE YOU
Mekusamehe mimi apababe am sorry don be angry honey please
Maneno yako yawe ni dua Julymeme na mimi naitikia AaminUtampata tu tena muda si mrefu amini Mungu ni mwema mkuu