Julymeme
JF-Expert Member
- Oct 23, 2017
- 442
- 808
Pole sana mkuu, hope utakua bora kwa mwengine utakaempataNimesha jifunza kwakweli japo kwa maumivu makubwa sana maana sikuamini alipochukua maamuzi ya kuolewa na mtu mwingine. Nadhani niliweka hisia kua nam posses kama property na hawezi kuishi bila penzi langu. Matokeo yaqke akaja kuni surprise brutally