You broke my heart cacico...!!!

hivi sasa shostito cacico! haya ndo ya mzigo mzito mpe mnyamwez aubebe au? to me i think Young_Master anapaswa kujua kwamba humu jamvin ni utani tu bana asiyaweke kuwa ya ukweli manake akienda kwa stail hizo mbona ataumia kweli? ila na wewe ulianzaje....................?????????

Embu nisaidie kungwi gfsonwin...nadhani wakati namuoa cacico hukumfunda vizuri...kama ungekuwa umemfunda vizuri haya yote yasingetokea.
 
Last edited by a moderator:
Sasa na wewe gfsonwin ulitaka nipime maji na kijiti?

na hu ndio ujanja wa mjini maji yapime kina kwa kijiti, umeona yakiwa marefu unasepa fast hivi unajua mambo ya ushanging wa jiji? mwenye kisu kirefu ndiye mla nyama. Jipime kwanza kabla kumwaga swanga sasa hata kama miye ukinitokea shangingi kama mimi wafikir nafanyaje nakupiga chini tu. manake mimi zangu gia 16 high na low manual na ni mbaula abnormal wide load,sasa weye umezoe gia 5 automatic vya kivitz hili hata stata utapiga kweli
 
Ha ha haaaa!!! Embu acha kujisifia wewe....chezea injini ya greda weyeeeee....!!!
 
heheheiya, kanizoeaje sasa mukenya na vituko vyanguuuu??/ kha! nitafutie ile mizizi pulizzzzzzz ya mmavimavi kabla sijasema idadi ya 96 inawakilisha nini hapa duniani. lolest! HALO, HALO, WINE, WINE,,,, HALO, HALO, KONYAGI, KONYAGI!!! kha nacheka sana kila nikumbukapo lolest!
gfsonwin embu leta kamba hapa maana naona huyu bibie cacico ameshaanza kupata mizizi ya ukichaa.
 
Last edited by a moderator:
maji ya kuoga niyaweke mdalasini au nafsa?? na mafuta je ya kupaka, nikuwekee ya mbuyu au ya alizeti nataka baada ya kuoga na kutoka kiuno nikione kinazunguka kupita pangaboi, lolest!

Muwekee hiliki bwana...khaaa!!! Mbona unataka kuniabisha...??? Unakuwa kama vile hujaishi pwani bwana.
 
heheheiya, kanizoeaje sasa mukenya na vituko vyanguuuu??/ kha! nitafutie ile mizizi pulizzzzzzz ya mmavimavi kabla sijasema idadi ya 96 inawakilisha nini hapa duniani. lolest! HALO, HALO, WINE, WINE,,,, HALO, HALO, KONYAGI, KONYAGI!!! kha nacheka sana kila nikumbukapo lolest!

wapi MC DEVI jamaniiiiiiiiiiii! konyagi halo halo............................wine halo halo..........................wapiiii shoatito brenda?? lolest hebu tufanye kazi aisee namisije mamitoko yetu? mwambie Young_Master akitaka moyo tuugandishe alete ngawira zinahusu sana tu. wine hatukopi atii tunanunua na nyagi yanunuliwa atii.
 
Last edited by a moderator:
mmh wewe uliyezoea kutoka na vitoto utaniweza miye? maji yangu yatekwa kwa kata wala siyo kopo, na lazima yawe ya kisimani yenye nafsa, mafuta yangu shurti yawe ya ubuyu unichue kiunoni, mapajani na mgongoni. uturi wangu miye ni wa udi, tena wa kuchoma,chetezo wajua kukikoleza weye?? haya hata huyo Bishanga wenu hayajui.
gfsonwin naona maelezo yako yameshamkimbiza mshikaji....nina uhakika harudi tena.
 
Last edited by a moderator:
wapi MC DEVI jamaniiiiiiiiiiii! konyagi halo halo............................wine halo halo..........................wapiiii shoatito brenda?? lolest hebu tufanye kazi aisee namisije mamitoko yetu? mwambie Young_Master akitaka moyo tuugandishe alete ngawira zinahusu sana tu. wine hatukopi atii tunanunua na nyagi yanunuliwa atii.

sasa mbona mnaanza kunichuna tena gfsonwin?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom