Ila tatizo lenu na nyie, mtu mnaweza mkataabika wote, siku mkizichanga ndo unakuwa "not his type" loooh. But I think kama mtu kutoka moyoni mwake ameridhia kuhustle na mtu wake, afanye tu hata mambo yakibadilika, itauma yes but no regrets coz ulifanya mwenyewe kutoka moyoni, hukulazimishwa (things we do for love). Ila usiwe busy sana kusupport dreams za mwenzi wako, ukasahau kama na wewe una dreams zako pia, add value to your life too. Ili hata siku akinyanyuka anakuta bado unamfit katika maisha hayo mapya. Na hata akikuacha tayari umefanya kitu Kwa ajili ya maisha yako so unaendelea tu kusimama.
Ukibahatika kumpata ready made ni kheri pia especially kama anakuheshimu na hana kiburi na Mali zake. Maana kuna wanaume bana kisa vijicent vyake basi atakutreat as one of his items, sio Kwa hayo manyanyaso
Galpal, mich yeeew "iiiiiiiiiiii"...hatz off to this dear..
Galpal, mich yeeew "iiiiiiiiiiii"
Binafsi sijisifii jamani,nipogo humble sana.
Hakuna kitu ambacho huwa nakiepuka kama dharau.
Sipendi kumdharau mtu kutokana na muonekano wake au aina yake ya maisha.
Tena naweza kukupamba ukajiona uko juu zaidi ya uhalisia.
Nimewahi date na wenye ego,yani mtu anajisikia vibaya sana halafu ukiangalia sio lolote kuanzia muonekano na kila kitu.
Ambacho huwa nakifanya ni kujishusha,kama sioni vile.
Mwisho wa siku tukija kubreak up huwa haupiti muda wananitafuta tena kwa masikitiko na kujishusha kulikopitiliza.
Kuna Ex wangu mmoja aliwahi kuniambia "Wewe ni mwanamke wa ajabu Nifah,wanawake kama wewe wamebakia ktk filamu pekee"
Sababu kuu ni unyenyekevu,huruma,heshima na ustaarabu nilivyojaaliwa.
Siri ya yote hayo ni kutokulipa ubaya kwa ubaya,tenda wema nenda zako.
Wema huishi milele.
Period
Ngoja nikakusanye hasira nitamrudia
But namwonea huruma,ngoja tu nimsamehe bureHe's chomping at the bit..
Go ahead and make his day😉.
So a man needs a woman to excell right?? So does a woman?? But ulishawahi kusikia mwanaume akitamba kwa mafanikio ya mwanamke?? Ni kwamba mko inferior au??Hahaaa, sasa hutaki?, na sasa we're right on your side making things happen, not even behind anymore..lol
niko nawe pa1 mambo ya matusi na dharua bora nitafute type yanguNimevuta taswira sijaona sehemu niliyowahi kuambiwa hilo neno..huwa najaribu kuwafuata wanyonge wenzangu maana matusi na dharau kweli sipendi
So a man needs a woman to excell right?? So does a woman?? But ulishawahi kusikia mwanaume akitamba kwa mafanikio ya mwanamke?? Ni kwamba mko inferior au??
Come on maaam 😉😉😉😉
Type hii ipo kwenye group hili!! Wote wanaojifanya wazuri huku kichwani hakun kitu Mara nyingi huishia kuumizwa sehemu za siri wajanjaWanawake wazuri wote ni type yangu na ndio naodeal nao muda mwingi. Nilichokuja kugundua ni kuwa, wanawake wengi wanaoishi kwa kutanguliza kunata sana, ngebe na fakeness, huwa ni kwa sababu hawana uelewa wa maisha, wana exposure ndogo, wanahisi kutokuwa na vigezo na kutafuta kujikweza. Asilimia chache ni wale wenye over confidence, kuishi kwa malengo unrealistic n.k Unakuta mtu ana ndoto za kudate billionaire wakati hajishughulishi kutengeneza hadhi ya kuonwa na billionaire.ZZaidi anachokitegemea ni sura soft, behind iliyobinuka, mahips ya kuamsha mwenge, manicured nails na accent ya oxford ya kulazimisha iliyobeba maneno ya rejareja yasiyo na content ya maana. Sasa akifuatwa na watu anaoamini ni wa kawaida,huku akiwa anaamini yeye ni wa kundi fulani ambalo pia halimuoni,ndipo utasikia statement kama,wewe sio type yangu!
Binafsi sijisifii jamani,nipogo humble sana.
Hakuna kitu ambacho huwa nakiepuka kama dharau.
Sipendi kumdharau mtu kutokana na muonekano wake au aina yake ya maisha.
Tena naweza kukupamba ukajiona uko juu zaidi ya uhalisia.
Nimewahi date na wenye ego,yani mtu anajisikia vibaya sana halafu ukiangalia sio lolote kuanzia muonekano na kila kitu.
Ambacho huwa nakifanya ni kujishusha,kama sioni vile.
Mwisho wa siku tukija kubreak up huwa haupiti muda wananitafuta tena kwa masikitiko na kujishusha kulikopitiliza.
Kuna Ex wangu mmoja aliwahi kuniambia "Wewe ni mwanamke wa ajabu Nifah,wanawake kama wewe wamebakia ktk filamu pekee"
Sababu kuu ni unyenyekevu,huruma,heshima na ustaarabu nilivyojaaliwa.
Siri ya yote hayo ni kutokulipa ubaya kwa ubaya,tenda wema nenda zako.
Wema huishi milele.
Period
Sounds good, u find justice n not revenge(kama siasa hiv kwa mbaali)Nishakutana nazo hizo sana ,sema huwa lazima nitafute justice baada ya kumpata ,
Justice na sio revenge
Ulikuwa unataka sifa eeh?unamtongozaje bint mbele za washkaji?Me tayari guys ,nshakutana na state kama hyo ,
Nlikuwa form two
Ilikuwa ni siku ya joint mass , nikamwona mtoto mkali,c nikatupa nyavu ee mtoto anasikiliza kama kakubali yaani,nlipomaliza xx ,.
Akaniuliza upo level gani kidume nikaropoka o-level weeee acha kumbe mtoto alikuwa wa advance bhn pale machame girls,nikaanza poromoshewa maneno sasa dah ,isitoshe ilikuw mbele ya washkaji dah ilikuw soo wadau ila nliumia
Technically thts a swift revengemaelezo nitakayo toa hapa yatajenga picha ni revenge wakati mimi natafuta tu justice ....naweza mkoleza akifika kwenye peek ya mahusiano yaani haoni wala hasikii mimi huyoooo nasepaa zangu
..pole sana mkuu,..mwenyewe form2 nlishawahi ambiwa maneno n.a. mdada m1 inauma aisee!..Me tayari guys ,nshakutana na state kama hyo ,
Nlikuwa form two
Ilikuwa ni siku ya joint mass , nikamwona mtoto mkali,c nikatupa nyavu ee mtoto anasikiliza kama kakubali yaani,nlipomaliza xx ,.
Akaniuliza upo level gani kidume nikaropoka o-level weeee acha kumbe mtoto alikuwa wa advance bhn pale machame girls,nikaanza poromoshewa maneno sasa dah ,isitoshe ilikuw mbele ya washkaji dah ilikuw soo wadau ila nliumia
Hahahahahaaa kama tupo downtown N.Y, tunasema bila kificho... n i lov tNyani ngabu mshenzi sana aliniudhi
Cc ngabu achaga nyodo bhana