Baraka issa
Senior Member
- Aug 29, 2015
- 169
- 50
ni kweli , mi nashindilia palepale , unaweza kuwa successful hata ukiwa bila mwanamke , unaweza ukawa successful na mwanamke wako akawa wa kwanza kukuchimbia shimoKwani Successful ni kuwa na pesa peke yake ?
Hilo neno linabeba mambo mengi ,ni wangapi wana hizo Pesa lakini familia zao hazina amani ?
Unakua na pesa unakula kipupwe Masaki mama yako yupo kijijini nyumba ya udongo na kuni za miti macho yanakua mekundu anaishia kuhisiwa mwanga ,is that success ?
Mara chache sana.. I've my signs Nifah hehehePoleeee wengine ni wagumuuuu.
Anaweza kuwa keshakuelewa kweli ila anajikausha tu
Heheheeee
unataka kuwa Mario au...?Napenda sana wanawake wenye mafanikiwa ila naambiwa sio type yao bt wa type yangu nao siwatak sijui nifanyeje napenda kuwa namafanikio so wanawake wenye low income siwapend hata akiwa mzur japo na mimi ni wakawaida bt napenda bosslady tatizo siwapat
Mchaga mwenzangu habari yako banaNani huyo?? Sio msukuma kweli
Oh yeah ,You can say that againBack then there were few if no gold diggers at all.. But in today's world, few and very few ladies can take a walk with you..
Si unaona hata humu wabeba box wanaonwa kama miungu watu hivi.. Struggle is real
Hujambo MankaMchaga mwenzangu habari yako bana
He hee I don't think so...hapana Vale nataka aje hapa ajifunze nguvu iliyopo kwenye ulimi ili asirudie tena kusema hivyo
For sure homie.. YOLOOh yeah ,You can say that again
We live in the most complex time nothing is black and white
Its just that Gods grace keeps us moving
Things are changing ,human being are changing and everything in between
Take a look at the top of Mountain Kilimanjaro
Does it looks like it was in early 60's ?
We just have to take everything as they are and embrace the moment
Hahahaha hapana aisee sister sina unyama nina roho moja ya huruma sana ,sema sasa mtu akivuka mipaka yake ,Repercussions zake zinakuwa mbaya sana ,kwa sababu nikishaamua jambo nimeamua huwa siangalii nyumaWTF?
Kumbe broda na wewe ni mnyama hivi?
Sijambo, kamooHujambo Manka
Ila tatizo lenu na nyie, mtu mnaweza mkataabika wote, siku mkizichanga ndo unakuwa "not his type" loooh. But I think kama mtu kutoka moyoni mwake ameridhia kuhustle na mtu wake, afanye tu hata mambo yakibadilika, itauma yes but no regrets coz ulifanya mwenyewe kutoka moyoni, hukulazimishwa (things we do for love). Ila usiwe busy sana kusupport dreams za mwenzi wako, ukasahau kama na wewe una dreams zako pia, add value to your life too (upgrade yourself too). Ili hata siku mtu akinyanyuka anakuta bado unamfit katika maisha hayo mapya. Na hata akikuacha tayari umefanya kitu Kwa ajili ya maisha yako so unaendelea tu kusimama.Thank you and thank you again ,you hit were it hurts ,instead of pushing away a broke ass Negro turn that Mf in the most successful human being ever.
The power is in your hands that is what i believe .
You get a dumbass woman behind your back you aint gonna make it or else you will make it in a hard way .
You get a brave woman and everything will just be absolutely amazing.
Ni kweli brother ila pia tunapopima mambo tunaangalia Percentage kubwa imeangukia wapini kweli , mi nashindilia palepale , unaweza kuwa successful hata ukiwa bila mwanamke , unaweza ukawa successful na mwanamke wako akawa wa kwanza kukuchimbia shimo
Usijali hata, watu wengi walikuwa huko, ila Leo wapo sehemu nyingine kabisa. You keep on hustling + Mtegemee Mungu + kuwa mvumilivu, ipo siku yako tuI advice that all women take this message seriously bcoz these are very good words,although i belong to the broke nigga group of guys.
Kuwa type ya mtu fulani ni huyo mtu anavyokutazama yeye na si unavyoona wewe... unaweza ukaon huyu ni type yangu lakini yeye akaona wewe si type yake...Haijawahi tokea maana najitahidi sana kuwinda type zangu na kiuhalisia wanawake wote wasio nizidi zaidi ya miaka m5 ni type yangu.
Haya basi mwache ashupaze shingo kuna siku itavunjikaHe hee I don't think so...
Hapo nimesuuzika na roho yangu,yaani umenipa matumaini kwamba iko siku mambo yatakuwa byee.Maisha yakibuma hakawii kukutafuata na kukuambia I didn't mean that, babe I love you so so much😡😡😡