"You are not my type"

"You are not my type"

Senior Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2011
Posts
3,405
Reaction score
3,701
Does that phrase sound familiar ??

Ulisha wahi ambiwa hvyo na mpenzi wako au mtu wako wa karibu when dating ??

Ili kua kuaje ??

Ulijiskiaje ??

Ulichukua hatua gani ??


All is well once again, hope ur having a calm weekend.

Well nimependa tu niwaambie vijana wenzangu wanao pitia hali hii kwa sasa....kwamba sio wao tu tupo wengi tuliyokwisha yapitia hayo on different life circumstances...na leo wengine tumeshuhudia tukiandaliwa meza moja na hao hao watesi wetu.

Kikubwa jiamini, simama piga kazi kwa nguvu zote, focus more on ur life and happiness, the right one at the right time will come in ur life and stay na hao hao waliokuchukilia poa one day watasujudu.

Nimejisikia tu ku share after remembering some past memories in my life.


Regards

Senior Boss.
 
Maisha yakibuma hakawii kukutafuata na kukuambia I didn't mean that, babe I love you so much😡😡😡

Alaf unakuta mtu umezoea ku lead a humble and normal life siku mtu akikufahamu vizuri na the true you and the life u lead.....unaona kauli zina badilika and with all these fake love and all.

I seriously hate fake sympathy nd fake women wit passion.
 
Alaf unakuta mtu umezoea ku lead a humble normal life siku mtu akikufahamu vizuri.....kauli zina bailika.

I seriously hate fake sympathy nd women wit passion.
Mkuu I believe in the power of tongue, never use it to hurt other people's feelings. In that case, watch the outcome of those who tell you "you are not my type".
 
Me tayari guys ,nshakutana na state kama hyo ,
Nlikuwa form two

Ilikuwa ni siku ya joint mass , nikamwona mtoto mkali,c nikatupa nyavu ee mtoto anasikiliza kama kakubali yaani,nlipomaliza xx ,.
Akaniuliza upo level gani kidume nikaropoka o-level weeee acha kumbe mtoto alikuwa wa advance bhn pale machame girls,nikaanza poromoshewa maneno sasa dah ,isitoshe ilikuw mbele ya washkaji dah ilikuw soo wadau ila nliumia
 
Wanawake wazuri wote ni type yangu na ndio naodeal nao muda mwingi. Nilichokuja kugundua ni kuwa, wanawake wengi wanaoishi kwa kutanguliza kunata sana, ngebe na fakeness, huwa ni kwa sababu hawana uelewa wa maisha, wana exposure ndogo, wanahisi kutokuwa na vigezo na kutafuta kujikweza. Asilimia chache ni wale wenye over confidence, kuishi kwa malengo unrealistic n.k Unakuta mtu ana ndoto za kudate billionaire wakati hajishughulishi kutengeneza hadhi ya kuonwa na billionaire.ZZaidi anachokitegemea ni sura soft, behind iliyobinuka, mahips ya kuamsha mwenge, manicured nails na accent ya oxford ya kulazimisha iliyobeba maneno ya rejareja yasiyo na content ya maana. Sasa akifuatwa na watu anaoamini ni wa kawaida,huku akiwa anaamini yeye ni wa kundi fulani ambalo pia halimuoni,ndipo utasikia statement kama,wewe sio type yangu!
 
Hongera sana.

Well kuna wakati unaweza kua uko katika hali flan (temporary) due to certain circumstances but doesn't mean u belong there.

We live, we learn.
Hahaha huwa raha sana aliyekuona sio size yake but mambo yakinyooka anakupigia saluti, safi sana, soma sana, tafta pesa watajileta wote, watu kuita mara mzee, kifaru, mkuu, boss na majina kibao
 
Back
Top Bottom