TANZIA Yona Fares Maro (MwanaJF na Muasisi wa Wanabidii) Afariki Dunia

Nokia83 nimpate mwanaume design ya Yona kama unavyomsemea hapa nitampenda kiasi kikubwa mno. Maisha ya ndoa ni zaidi ya hiyo papuchi au sijui kitu gani. KWANZA mwanaume kwangu ni yule anayenipenda kwa uaminifu na kujituma kimaisha na Mimi najituma na mwisho wa siku tunatathmini tunachokiona kwa macho cha Maendeleo and not counting how many times we have been on bed. Hatujabahatika jamani.
Mkuu unasema tu wewe kama hakukuni vizuri si utamtega hata muokota makopo akukune ndio hapo sasa kasheshe litaanza
Sababu ziko nyingi
 
Sijui kwanini duniani kuna vitu vigumu kiasi hiki... Eeeh Mungu baba wa rehema kampe pumziko la haki marehemu..
Nazidi kuziombea ndoa na mahusiano mengine yanayopitia katika nyakati ngumu za ugomvi na mafarakano... Baba wa rehema katende sawa sawa na mapenzi yako... Kahukumu kwa haki wale wote wanaotibua ndoa na mahusiano ya wengine
Tunatambua ulisema NDOA NA IHESHIMIWE NA WATU WOTE... basi na iwe hivyo... Aaamen
Mhhh akajiue Guest?
 
Nnavyokuona .....
Please jipende kwanza kabla ya kupenda yeyote!
Maisha zawadi usiitupetupe,iienzi!

Nilishaumizwa sanaàa! Au niliumia saaana!
Sijapigwa kibao,hivyo sujaumizwa ,niliumia sana!
Sitakaa nisahau!
Diari ya mwaka huo sitaki kuipitia!
Mapenzi yanauma sana! Sikuweza Kula ,nilipungua uzito zaidi ya kilo 15 ndaninya mwezi bila zoezi wala diet! Nilikuwa kama kichaaa!
Lakini nilisimama kwa kusali na kuomba,ila nilikaribia kufa!
Nihisia tuuu zako binafsi,mwenzako wala hakujali wala hakifeel hata kidogo! Kwanza anakushangaa tuu unavyohangaika!

Nakuelewa ,jipende kwanza wewe wewe mwenyewe ndio wengine wafuate!

Nilijifunza kuchukia japo ngumu,nilimchukia jamaa hatari! Mpaka sasa niko nae, simtegemei sana kunipa furaha! Ananipa pesa magari,na vingine, lakini hisia zangu bado hazijarudi kama mwanzo 10 yrs!!
Zungumza humu ,acha yapite,chati,Cheka,furahi,
But sali sana!
Mwisho wa siku wote tutakufa!

Usijiue usiue
Mkuu mimi mwakajana kuna demu alinifanya vibaya pia we acha sio siri mpaka leo hatusalimiani na tupo majirani
Kuna mmama moja kanisaidia sana kwa mawazo namuheshimu sana huyo mama mpaka sasa kawa best yangu sana

Mdada alikua ananisema vibaya sana
Mbaya zaidi kujua kila kitu na bwana wake huyo

Karibu nijitoe roho
Kula hakuliki furaha ilipotea
Ukiniangalia kama mgonjwa
Nini Mapenzi
Da wewe acha
Simalizagi maneno
 
Ni miaka imebadilika, mtu akijinyonga hatakiwa kuingizwa ndani,
wala kuombewa;
pengine ni hawa watumishi wa miaka hii wanaopenda kulipwa sijui.
 
Mkuu mimi mwakajana kuna demu alinifanya vibaya pia we acha sio siri mpaka leo hatusalimiani na tupo majirani
Kuna mmama moja kanisaidia sana kwa mawazo namuheshimu sana huyo mama mpaka sasa kawa best yangu sana

Mdada alikua ananisema vibaya sana
Mbaya zaidi kujua kila kitu na bwana wake huyo

Karibu nijitoe roho
Kula hakuliki furaha ilipotea
Ukiniangalia kama mgonjwa
Nini Mapenzi
Da wewe acha
Simalizagi maneno
Pole sana Mkuu!
Utàmu wa mapenzi kinyume chake ni uchungu mkali sana!
Tupate watu wakutushauri kabla ya kuchukua maamuzi !
 
Yan ukishindwa kuhandle kitu bora utoke kuliko kutoa uhai,
Uhai kakupa Mungu usifanye kujitoa duniani kisa mtu au maumivu
Ukitoka kimbilia kwa Mungu, yeye ni Baba, kama ni baba anaelewa unapo potia, ukiweza kulia liaaa had uchungu uishe,(hata kama ww ni mwanaume liaa toa machoz jifungie mahali mlilie Baba yako, tusijifanye wagumu hadi kwa aliyetufinyanga) ukiweza funga mwambie Mungu nimeumia siwezi kulibeba hili, utaona kidogo kidogo unapona

Binadamu tunakutana duniani hapa hapa na tunaachana hapahapa
Ndio maana kiapo kinasema mpaka kifo kitakapo tutenganisha

Ina maana huko mbinguni huendi naye huyo mtu.
Hakuna mtu mwenye mbingu ya kukupeleka
Kila mtu anapito lake, kila mtu ana mahali analia na Mungu lakin jamani hakuna mwenye maisha yaliyo nyooka ni Mungu tu anatuvusha kuvuka kwenda mahali pengine

Watu wanalia watu wana maumivu mno lakin tujipeleke kwa Mungu anasikia

Polen wafiwa wote
Thankx a lot comrade
 
Mh huenda ni ishu ya assassination eti? Niseme tu sie binadamu tumefungwa mambo mengi sana, hapa tunalaumu tu ila huenda kuna watu wakisoma hii sredi wanacheka tu the deal was done successfully!

Maana tumeingizwa na miguu yote Mia dadeki
Inawezekana
Never negotiate with human mind
 
hiyo ambayo ndoa haikufanyika kipindi hicho hakuwa yona anamiliki dude, binti alitakaga kuolewa na jamaa flani hivi alikuwa anafanya mgodini, sijui nani akamtonya jamaa kuwa mwanamke ni Malaya, ndoa haikufungwa. Naona baada ya mda kidogo Yona ndo akajibebea na walifunga ndoa ya serikalini kisirisiri kabla binti hajaenda masomoni nje ya nchi
...mmmh watu mko deep hatari
 
mapenzi kitu cha ajabu kabisa.. huyu mwanamke mimi akinipa hata na hela simchukui... mbovu na hapo rangi kiasi imemsaidia.... ni mbovu hasa. anyway.."kimfaacho mtu chake"
...wenzako wana usemi "gari bovu but linanifikisha town hata kama kwa shidashida"
 
Rest In Peace Yona F. Maro ulitoka kwenye ubachelor ukaingia kwenye ndoa yenye majanga na yakakuzidia hadi ukaamua kujiua tena guest house, mwaka na kitu umeisha ukiwa kaburini.
 
Back
Top Bottom