TANZIA Yona Fares Maro (MwanaJF na Muasisi wa Wanabidii) Afariki Dunia

Thats all he had...aliwahi kuandika story ya huyu binti kwa maana ya story kule bidii zamani sana
Napinga sana kitendo cha mwanaume kujiua sababu ya mwanamke. Hakuna sababu yoyote ile inayohalalisha kujitoa uhai chini ya jua, achilia mbali eti "mwanamke"! Nikisikia eti mtu amejitoa uhai wake sababu mkewe anatembea na mwanaume mwingine huwa nakereka sana, tena sana. Lakini ndiyo hivyo tena, kila mtu na akili zake kichwani.

Kwa wale ambao hawajajiua bado, wakae wakijua kuwa unapojiua unakuwa unakufa huku ukitenda dhambi ya kuua. Matokeo yake ni kwamba siku ya mwisho wa dunia, moja kwa moja utahukumiwa kwa kuua. Mtu anayejiua hapati hata nafasi ya kutubu maovu yake sababu huwezi kutubu wakati upo kwenye mchakato wa kutenda dhambi nyingine. Mtu anayejiua anakuwa anajikatia tiketi ya moja kwa moja kwenda Jehanamu ya moto siku ile MESSIAH atakaporudi tena.
 
Ni majonzi sana kupata habari hizi.

Ni vigumu sana kuelewa, mtu ambaye alikuwa na moyo wa uchunguzi kwa nia ya kutatua matatizo, anawezaje kuishia hivi.

Na Yona alikuwa na bidii, kama kundi lake lilivyoitwa. Kuna mambo mengi sana technical alikuwa anaandika, unaona kabisa huyu mtu kafanya kazi ya kujifunza mpaka kuandika hivi.

Mioyo ya watu ina siri nyingi na kurukia kuhukumu si vyema.

Ila nimekumbuka kitambo, wakati JF ilipokuwa na ari ya kushirikiana zaidi, kujuzana zaidi, kuelimishana zaidi,Yona alikuwa kiungo muhimu katika kuchavusha maenezo ya elimu, hasa ya mambo ya mtandao na usalama.

Pumzika kwa amani.

Kiranga Cha Ngeda Sakala Kandumbwa..
 
Nilienda kumzika...nina hasira kiasi cha kupasuka! Pambafff Eng Mwambu Paul Mloelya Pambaff mzinifu mwenzio Lossy ...mtaonana wa kawaida sasa maana mapenzi ya wizi yalikuwa matamu, mtaendelea kuchepuka tena na tena hadi mtoboke hivyo vifanyio ...pambaff zenu!
MKUU mke wake huyo mhandisi alihudhuria kuzika? Tupe tu mrejesho alivyokuwa msibani.
 
Pole Yona...Sijajua kwanini Pasco Haongeli kuhusu Huyu Jamaa, MUNGU amjalie huko alipo..hatuwezi kuhukumu mtu ila kuna mambo alitufanyia yameathiri maisha yetu hadi leo..hapa JF alikua anaitwa Shy..ila MUNGU Atamhukumu kama sisi wengine..bro uliniachia maumivu sitakaa niyasahau...mpaka leo kwa tukio ulilonifanyia..ningekua mjinga ningejiua...ila nashkuru sikukupa hela uliyoitaka..na damage done...ila MUNGU akurehemu na akusamehe dhami zako na ulale pema peponi nilishasamehege
Alikufanyage mkuu ila naye si alimkimbia mwanamke waliyezaa naye
 
EMERGING CONSPIRACY OF PODSOBLE ASSASSINATION

Ijulikane kuwa Maro alikuwa Graduate wa IT toka Harvard

Ijulikane kuwa Maro kama mwana harakati amehusika actively na mitandao maarufu kama mmiliki,mwenza,mwazilishi,mshiriki
Ie Bidii,ulinzi na usalama ,jamii forum etc

Ijulikane kuwa wakati mauti yanamkuta alikuwa ametoka kwenye kizuizi cha siku 60 kwa makosa...yanayohusiana na mtandao

Ijulikane kwa sasa kuna mamia ya vijana hawapo mtaani kwa makosa ya namna hiyo ikihisiwa wanatoa siri za serikali ,jeshi,tiss etc maro alikua kundi...hilo

Ijulikane kuwa Maro amewahi kupigwa huku nyuma na...watu wasiojulikana kama...onyo kwa ushiriki wake na aina ya mijadala na taarifa anazotoa

Maro ni kati ya vijana wachache watanzania waliokuwa na uwezo mkubwa wa.kuingilia mitandao

Conclusion
Wakati dunia nzima inamlaumu Maro kwa kujiuwa ,nani amechunguza masaaa 48 baada ya na kabla hajaingia kwenye hiyo guest
Aliongozana na nani guest

Nani alimtembelea guest

Alijiuwa na sumu aina gani ...

Mawasiliano yake ya mwisho kwa simu yakoje

Kama alikua na ugomvi na mkewe kwanini aweke namba yake ataarifiwe wakati ana ndugu wengine kama Dada ,kaka etx ...
Mwandiko uluotumika ni wake ? Je ameuandika katika hali ya kawaida au shinikizo ( wataalamu wa miandiko wananielewa)

Walipovunja mlango ufunguo waliukuta wapi ? Kwenye tundu ? Sakafuni au chini ? Au haukuwapo kabisa ?

WAMEANDIKA amekuwa na ugomvi na mkewe four years .....iweje kurudi usiku wa manane mkewe kumfanye ajiuwe leo kama kavumilia miaka minne
Mtu aliyekua kizuizini na huko hakuwa anajua mienendo ya mkewe iweje hilo limshtue zaidi...

Mazingira yakoje kwenye tukio ? Palikuwa na purukushani ?'je alikufa katika hali gani ...misuli yake ionekana je ,macho yake je ...palikuwa na nini kingine ...
Forensic experts waliitwa kabla ya kuchukua kitu chochote
Kuna picha mnato na video ??

Mwisho napata hitimisho kuwa kutokana na mazingira na ushiriki wake katika yanayoendelea na.kuwa...alitoka kizuizini TUSIWE MISLED KUMLAUMU MKEWE NA MCHEPUKO HADI TUPATE MAJIBU YA HAYA MASWALI

MARA NYINGI KWENYE ASSASSINATION HUWA WAANAANGALIA POSSIBLE EXIT ANGLES IKIWEMO WATU WA KUWATUPIA LAWAMA BAADA YA MAUWAJI ..
Nimekuelewa mkuu
 
Pole Yona...Sijajua kwanini Pasco Haongeli kuhusu Huyu Jamaa, MUNGU amjalie huko alipo..hatuwezi kuhukumu mtu ila kuna mambo alitufanyia yameathiri maisha yetu hadi leo..hapa JF alikua anaitwa Shy..ila MUNGU Atamhukumu kama sisi wengine..bro uliniachia maumivu sitakaa niyasahau...mpaka leo kwa tukio ulilonifanyia..ningekua mjinga ningejiua...ila nashkuru sikukupa hela uliyoitaka..na damage done...ila MUNGU akurehemu na akusamehe dhami zako na ulale pema peponi nilishasamehege

Say it all..say it loud and clear....Maana kuna side mbili za coin. As usual
 
Mbele yake Nyuma yetu.

Poleni sana Watu wake wa karibu pamoja na Familia yake kwa Ujumla
 
Until we take our final breath you will live in our heart, your love will light our way. Your memory will forever be with us. Every step we take, every move we make, every single day and every time we'll be missing you!

R.I.P brother!!
Mkuu
Hiv Haya maneno huwa tunamfarij marehem, mfiwa au sisi wnyw watamkaj???
Au yana chembe yyte ukwel??????
 
Kuna group nilikuwa la wanandoa nilikuwa nacheka jamani. Kuna mama yeye ndio kungwi sasa, full kufunda wenzie. Mie nilijua ana ndoa bwana nikawa namuona boonge la wife nikajisemea nikikua nitakua kama yeye Siku ya siku anazungumzia kuwa alishaachika mara mbili, sababu sasa oooh mwanaume alikuwa muhuni na bla bla zingine. Nikawaza si ndio huwa anasema hata mume awe muhuni vipi kumtuliza fanya 1,2,3..... kumbe yeye yalimshinda!!!

Haya mambo bwana mie nasemaga kama biko tu. Yaani uokote embe lako chini ya mnazi baasi, mengine porojo tu.
mganga hajigangi ati
 
Nimesikitika sana, hawa wanandoa nawajua hata kabla hawana watoto. Tatizo mwanamke yupo njema na jamaa alikuwa choka ila alikuwa kijana mpole na mtulivu. Baba wa mwanamke alikataa wasifunge ndoa coz jamaa kiuchumi sio bomba na ni kweli huyu muuni sana na chapombe kama Baba yake na kwao ni nyuma ya shule ya mapambano sinza
doh kumbe
 
Back
Top Bottom