TANZIA Yona Fares Maro (MwanaJF na Muasisi wa Wanabidii) Afariki Dunia

9f698092d5f429ffef87726f78433269.jpg
Kama ni kweli kilichomuua ni sababu ya huyu mwanamke kuchepuka nje ya ndoa, basi jamaa hana akili kabisa.
 
Bright people don't kill themselves bhana tusidanganyane. Huyu jamaa hakuwa bright wala nini, alikuwa "mpumbavu" tu ndiyo maana amejiua sababu ya mwanamke.

Acheni kusifia ujinga, kama mtu amefanya upuuzi hata kama amekufa inapaswa kusema ukweli tu bila kuogopa. Mtu mwenye akili zake hawezi kutoa uhai wake sababu ya Mwanamke na kuacha familia ikiteseka.

Watu kama hawa hawastahili kusifiwa na jamii hata kidigo.
Jamaa ni mbinafsi sana..ujiue uache watoto wako makusudi kabisa kisa papuchi?
 
huyo yona ni nyoko tu acha yamkute yaliyomkuta, alizaa na shoga yangu kipenzi, na wakawa wanaishi pamoja kama mke na mme, baadae akautana na huyu eng. mapenzi yakaanza na wakafunga ndoa kisisrisiri ya bomani, wakati huyu dada anataka kwenda masomoni nje(kusoma master). sasa dada livyorudi ham
taki tena yona ila ndo hivyo kishafunga nae ndoa, drama nyingi zimeendelea mpaka ameamua kujirestisha in peace. Mbona shoga yangu hakujiua alivyomcheat hadi kufunga ndoa kimya kimya

Kule Ntwara wanasema yamenkuta mambo.
 
ongezea na uchoyo, yaani mimi MR , tarehe tano tu mwanzo wa mwezi kabisa hana hata mia,

mshahara wote akipata anagawanya kwa ndugu zake hata yeye mwenyewe anajisahau atakula nini, hapa nyumbani kama usiponunua chakula hamli nakwambia,basi nilifanya kama naishi mwenyewe tu, mipango ya maendeleo na bajeti nzima ya nyumbani napanga kwenye mshahara wangu, na toka nimeamua kufanya hivyo aah moyo wangu umetulia na mbambo yaenda vizuri tu


bora wewe mumeo mchoyo shoga !mie wangu binafsi had nahis uzeen atakuwa mchawi ! anaweza kukuambia dah nimechoka kukaa sehem moja nataman kwenda hata mbeya nikakae hata week moja !nami najibu aisee ni kweli !hanunui kitu kwaajili yako utajijua na mshahara wako !akiishiwa nanataka na ww uishiwe muwe levels!sasa ww nengeneka ajue una hela utaaajuuuta !utanuniwa !utasimangwa!uwiiii!
ila ukishamjulia haina shida ! huyo naye wakutonunua hata msos mhhh !inakera!ptu
 
Jamaa inasemekana mwanamke alimtolea mahali ila alikuwa anachukuliwa na madingi, ni kama aliolewa ila kama alifunga ndoa labda walipoamia Mbeya. Huku ukumbi ulilipwa gaza sinza na shughuli haikufanyika.


hiyo ambayo ndoa haikufanyika kipindi hicho hakuwa yona anamiliki dude, binti alitakaga kuolewa na jamaa flani hivi alikuwa anafanya mgodini, sijui nani akamtonya jamaa kuwa mwanamke ni Malaya, ndoa haikufungwa. Naona baada ya mda kidogo Yona ndo akajibebea na walifunga ndoa ya serikalini kisirisiri kabla binti hajaenda masomoni nje ya nchi
 
Jamani wacha nionekane mjinga kwa kuoa darasa la saba mwenzangu jamani hawa wanawake waliosoma wenye elimu zao nawaogopa sana kuwatumia katika jambo kubwa sana kama ndoa
Weee weee kuna mtu namjua ameowa hiyo std 7 anamsumbua hadi akikusinulia analia tuu.Kaka ni msomi amebaki kwenda kusoma nje akimaliza course hiii anaomba nyingine.Sasa yupo India huko baada ya kutoka uholanzi.
 
huyo yona ni nyoko tu acha yamkute yaliyomkuta, alizaa na shoga yangu kipenzi, na wakawa wanaishi pamoja kama mke na mme, baadae akautana na huyu eng. mapenzi yakaanza na wakafunga ndoa kisisrisiri ya bomani, wakati huyu dada anataka kwenda masomoni nje(kusoma master). sasa dada livyorudi hamtaki tena yona ila ndo hivyo kishafunga nae ndoa, drama nyingi zimeendelea mpaka ameamua kujirestisha in peace. Mbona shoga yangu hakujiua alivyomcheat hadi kufunga ndoa kimya kimya

Ooh kumbe nae alikataliwa kama alivyomkataa mwenzie? Kweli chozi la mwanamke halijawahi kumuacha mtu salama
 
Mkuu punguza hasira hembu tuambie mazingira yalikuaje,watu wakisemaje huko msibani
Haakuna mtu aliyekuwa na mpango na huyo mchepuko mwandamizi aliyepata mwnaume aliyempenda hadi kumsababishia mauti...alisaliti asijione yuko salama maana usaliti ni kama kula nyama ya mtu...aliliwa akaonekana mtamu kwa kuwa alikuwa kwa mtu, sasa ataonekana wa kawaida na Lossy alokuwa anamtumia atatafuta chombo kipya so atabaki kama kopo cha chooni ambalo kila mtu yuko huru kuchambia!
 
Pole Yona...Sijajua kwanini Pasco Haongeli kuhusu Huyu Jamaa, MUNGU amjalie huko alipo..hatuwezi kuhukumu mtu ila kuna mambo alitufanyia yameathiri maisha yetu hadi leo..hapa JF alikua anaitwa Shy..ila MUNGU Atamhukumu kama sisi wengine..bro uliniachia maumivu sitakaa niyasahau...mpaka leo kwa tukio ulilonifanyia..ningekua mjinga ningejiua...ila nashkuru sikukupa hela uliyoitaka..na damage done...ila MUNGU akurehemu na akusamehe dhami zako na ulale pema peponi nilishasamehege
 
Aah weupe wako siyo mkali kama ule ninaouchukia..Mimi mwenyewe ni mweupe ila "Simple white" Ule weupe uliokolea ndo siutaki halafu nilishawahi kuandika humu kuwa wanawake wafupi mimi sijawahi kuwapenda..Mwanamke anakufikia chini ya bega sasa wapi na wapi? Yani ukute wewe ni mweupe halafu ni mfupi hata kama una neema za sheikh Kipoozeo kwangu ng'oooo sasa huyo ana sifa hizo! Mimi ni mrefu tena above the wastani sasa mwanamke mfupi nakuwa namiangalia kwa chini! Sipendi.

Mungu kama kakuumba mrefu mshukuru Mungu
binadamu tunaumbwa na Mungu hatuumbwi na mwanadamu mwenzetu au hatujiumbi
 
Pole Yona...Sijajua kwanini Pasco Haongeli kuhusu Huyu Jamaa, MUNGU amjalie huko alipo..hatuwezi kuhukumu mtu ila kuna mambo alitufanyia yameathiri maisha yetu hadi leo..hapa JF alikua anaitwa Shy..ila MUNGU Atamhukumu kama sisi wengine..bro uliniachia maumivu sitakaa niyasahau...mpaka leo kwa tukio ulilonifanyia..ningekua mjinga ningejiua...ila nashkuru sikukupa hela uliyoitaka..na damage done...ila MUNGU akurehemu na akusamehe dhami zako na ulale pema peponi nilishasamehege
Maishapopote alifanya nini? Sio vibaya tukajifunza
 
Back
Top Bottom