Yona atoswe baharini ili merikebu isizame

Kukimbia asignment kifasihi pia inaweza kuwa sawa na mtu kwenda kinyume na ahadi,katiba au mkataba.Kwa hiyo bado hadithi hii ina funzo ndani yake japo ina vijembe vingi vyenye kukera baadhi ya watu.
 
Yona misukosuko aliyoiletea hii nchi ,utekaji mauaji ,umaskini ,ufukuru ,ukandamizaji wa demokrasia ,haki za binadamu ,ubinafsi ,upendeleo chuki ,visasi ,ufisadi wa matilioni ,kubomoa mahusiano bora ya kimataifa na wawekezaji ,kesi kwa wawekezaji zisizo na kichwa wala miguu ,funga kazi kuua uchumi na biashara ,halafu Yona aendelee kuleta misukosuko kwenye meli baharini bora atoswe mapema sana asiaangaliwe usoni .
 
Kukimbia asignment kifasihi pia inaweza kuwa sawa na mtu kwenda kinyume na ahadi,katiba au mkataba.Kwa hiyo bado hadithi hii ina funzo ndani yake japo ina vijembe vingi vyenye kukera baadhi ya watu.
Unapotumia fasihi lazima uwe kwenye context ya ujumbe. Ukikosea context msingi wa hoja unapwaya.

Ni afadhali usitumie fasihi na uwe straight ili kama msingi wa hoja yako ina mashiko upate uungwaji mkono kwa walengwa wako.
So far, mada yake ingeweza kuwa relevant kama ungetumia role model mwingine na sio Yona
 
Kisa cha Yona ni kwamba alikataa kazi ya kinabii aliyotumwa na Mwenyezi Mungu ili kupitia ujumbe ule kuokoa maisha ya watu wa Ninawi.

Unapofikia mahala unaigeuza Biblia kwa mawazo yako ya kipuuzi ni kukiuka Maandiko Matakatifu na kuingiza udini kwenye political game.

Nakemea maaskofu na makaasisi ambao badala ya kulisha kondoo za Bwana wanalisha matumbo yao huku wakijitafutia uhalali kwenye majukwaa ya kisiasa huku wakijua agizo la kutenganisha ya kaisari na ya Mungu...

Ushindwe na kulegea tepetepe
 
Acha upotovu. Dini ni maisha. Dini ni mafundisho, hizo story za waliotangulia ni kwa ajili yetu tufanye kuishi leo. Huwezi kuitenganisha dini na siasa. Tunadanganyana tu hapa.
 
What I like the most ni kuwa hizi keyboard na makaratasi+pen zinachangia kwa kiasi kikubwa Sana nchi yetu kuendelea kuwa na Amani!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…