WomanOfSubstance
JF-Expert Member
- May 30, 2008
- 5,457
- 956
Yesu na maria, nkiki?? Yaani sasa unakuja as if huo mradi wa kina Stith una public interest?? Kwani wanajenga hospitali au airport au barabara?? Hii ni personal deal btn 2 companies, usiingize mambo ya public interest sababu hakuna public interest hata moja humo ndani. Kampuni ya kina Stith ni kampuni inayotafuta profit ya hali ya juu na sio NGO kama ambavyo kampuni ya Yona ilivyo also sio NGO, wote ni wafanya biashara na serikali haihusiki hata kidogo kuingilia, sehemu ya kwenda ni mahakamani ONLY.
Ndugu... kama umenisoma vizuri utaona nimeongelea zaidi swala la kuhodhi ardhi ambayo hujailipia kitu ili uje uiuze!Hapa kuna haki gani kwa anayehodhi?Im not arguing a case for public interest bali nazungumzia principle of EQUITY tu!( both inter and intra-generational equity)