Yombo KKKT hali si shwari

Yombo KKKT hali si shwari

Mlinzi gani atalinda mikeka??
Acha upuuzi.. Ila makka ya saudi arabia hailindwi ? Nangoja jibu lako

Ukifungwa msikiti habaki mtu ... kila mtu anakwenda lala ... nyumba ya mungu walinzi wa nini?
 
mikeka na makopo ya kutawadha! nonsense!

Hapo kwenye blue kila mtu ana kopo lake? kuna store ya kuhifadhi makopo? makopo yakikaa muda mrefu yanakuwa na kutu/tetenasi si bora watumie chupa za maji ya uhai.
 
Una uhakika gani kama sio mchezo wa kuigiza kama vile tunapoambiwa mamilioni ya sadaka za makanisa ziliibiwa Mbagala?
Wahoji vizuri mkuu! yasitukute tena kama ya yale ya kuambiwa oh millioni 2 mara 4 mara 1 za sadaka "ziliibiwa" makanisani mbagala bila ushahidi wowote.

Nyie mnadhani sisi tunasubiri kuletewa tende? Tunatafuta hela kwa akili na utashi sio kukaa kucheza ba bao na kunywa kahawa kwenye vikombe vichafu! Ndiyo maana mnapata muda wa kuandamana na kuiba wakati wa kazi.
 
Trust me, kanisa la kkkt ninalosali lina sadaka si chini ya tshs 20 M per week. Waumini wamebarikiwa hasa na wanamtolea Mungu wao bila shuruti.
Hapo nilpoweka red! ..kazi tunayo.
Matola said:
Hujui ulisemalo, hapa kuna ujenzi wa kanisa la ghorofa ndio unakamilika na katika kata hii hakuna hata Msikiti mmoja unaofikia thamani ya shillingi milllioni 5. War against crusaders will never succeed.
Unacheza na MoU wewe!
Anyway, nilikuomba uwahoji vizuri kuhusu hili tukio, nenda ndani zaidi...au unataka msaada jinsi gani ya kuwabana kimaswali ili upate unachokitaka?
Hatutaki kusikia tena kinanda cha kanisa thamani yake ni hivi vile!sijui madhabahu gharama yake ni hii au ile bila ya ushahidi wowote.
 
Kanisa lenu waumini wake ni wabahiri sana only 20 millioni per week?

Fedha na Dhahabu ni mali ya Bwana - HAGAI 2:8 na ZABURI 24:1 Dunia na vyote viijazavyo nchi ni mali yake
Bwana.Raha sana ukiijua kweli na kweli ikakuweka huru kukusanya mamilioni kwa ibada moja ni kama mchezo
siyo mpaka pesa za misaada toka Oman"
 
Ukifungwa msikiti habaki mtu ... kila mtu anakwenda lala ... nyumba ya mungu walinzi wa nini?
I see!!....

[h=2]1.5 lakh namazis offer Friday prayers at Mecca Masjid[/h]
HYDERABAD: Jumatul vida, the last Friday of the holy month of Ramzan, was observed amid tight security with more than 1.5 lakh people offering prayers at the Mecca Masjid amid tight security.Worshippers offered prayers
in congregation, even as they spilled onto the streets with rows of the faithful stretching from Moghalpura to Madina Junction.
 
loh, sasa hapo kikwete ameingiaje, mfanye uhalif wenyewe alaf lawama mpeleke kwa kikwete, loh, kwel ukubwa jalala
 
Hujui ulisemalo, hapa kuna ujenzi wa kanisa la ghorofa ndio unakamilika na katika kata hii hakuna hata Msikiti mmoja unaofikia thamani ya shillingi milllioni 5. War against crusaders will never succeed.

Ameeeeeen"
 
naona imefikia wakati sasa wakristo na sisi tujiandae kuchoma msikiti mmoja moto unasemaje khs hilo
 
I see!!....

1.5 lakh namazis offer Friday prayers at Mecca Masjid

HYDERABAD: Jumatul vida, the last Friday of the holy month of Ramzan, was observed amid tight security with more than 1.5 lakh people offering prayers at the Mecca Masjid amid tight security.Worshippers offered prayers
in congregation, even as they spilled onto the streets with rows of the faithful stretching from Moghalpura to Madina Junction.

Tafsiri kwa kiswahili utapata maana, kwa ajili ya usalama wakati wa swala ... onyesha wapi imeandikwa walinzi walikuwepo ucku wa manane?
 
tulipotoka napajua ila niendako/tuendako wadhail sina hata picha, , , kwa mfumo huu wa malumbano, mapigano, mauaji yanayohusu imani,? mwenyezi Mungu apitishe mbali hii ghadhabu
 
naona imefikia wakati sasa wakristo na sisi tujiandae kuchoma msikiti mmoja moto unasemaje khs hilo
Tuko bize kujenga vyuo vikuu vingi zaidi mashule na mahospital, hatuna muda huo, misikiti mingi haizidi thamani ya zaidi ya shillingi millioni 5.
 
kama nilivyoandika kwenye kichwa cha habari, nimepokea sms kwenye simu yangu ikielezea kuwa kuna watu wasiofahamika wamefika katika kanisa la yombo kkkt na kumjeruh mlinzi wa kanisa hadi kukimbizwa hospitali. Kwa maelezo ya ujumbe tukio limetokea muda huu.
Kwa wale walioko yombo naomba mtupe taarifa kama hii ni kweli
je ni watu gani hao?
Nia yao ni nini na/au kwa nini wamemjeruh mlinzi.
Nawasilisha
Yombo gani? mkuu kwani zipo myingi
b
ili nifuatilie niwajuze
 
Tafsiri kwa kiswahili utapata maana, kwa ajili ya usalama wakati wa swala ... onyesha wapi imeandikwa walinzi walikuwepo ucku wa manane?

Z

images

images
 
Tafsiri kwa kiswahili utapata maana, kwa ajili ya usalama wakati wa swala ... onyesha wapi imeandikwa walinzi walikuwepo ucku wa manane?

Mbona unajifunga mkuu? Kama wakati wa swala wanahitajika watu wa usalama, wakishaondoka si itabidi waweke jeshi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom