Ama kweli penye miti hapana wajenzi,jamaa yako hakujali? Embu niPM fasta nikuonyeshe maTLC ya ukweli ladyfurahia.
Mkuu Judgement pole kwa kuuguza,namtakia a quick recovery.
Btw mke wa mtoto wa malkiawa UK kulikoni,kaingia leba sa12 asubuhi hadi sa izi? Mmmmhhh
Wadau !
Habari zenyu! Kwa ufupi pitchuna wangu!
My wife wangu yu'taabani malaria kali !
Dua zenu wanabodi !
Pepo ktk dunia! Nasema aksante!
Ahsante mamito, njoo umpikie shemejio futari jamani
Aminia shostitousijali my dia am on my way. Mie tena
Nakupenda sana my Judgement
Ahsante mpendwa wangu.
pole sana my dear!!
mungu akuponye mpendwa!!