Ynnah yu'mgonjwa jamani!

Ynnah yu'mgonjwa jamani!

Judgement

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2011
Posts
10,326
Reaction score
4,789
Wadau !
Habari zenyu! Kwa ufupi pitchuna wangu!
My wife wangu yu'taabani malaria kali !
Dua zenu wanabodi !
 
jamani bestito pole sana tunamwombea Mungu amponye kabisa na awe mzima kuanzia sasa apokee uzima toka kwa Mungu
Wadau !
Habari zenyu! Kwa ufupi pitchuna wangu!
My wife wangu yu'taabani malaria kali !
Dua zenu wanabodi !
 
bora ya wewe unayemjali na kumpenda mkeo wengine humu sijui tuna gundu yaani we acha tu ila pole besti kwa kuuguza

Ama kweli penye miti hapana wajenzi,jamaa yako hakujali? Embu niPM fasta nikuonyeshe maTLC ya ukweli ladyfurahia.
Mkuu Judgement pole kwa kuuguza,namtakia a quick recovery.
Btw mke wa mtoto wa malkiawa UK kulikoni,kaingia leba sa12 asubuhi hadi sa izi? Mmmmhhh
 
Last edited by a moderator:
bora ya wewe unayemjali na kumpenda mkeo wengine humu sijui tuna gundu yaani we acha tu ila pole besti kwa kuuguza
Kwa kweli my husband wangu ananijali na kunipenda niseme jingine. Hapa nahangaikia mtu wa kumpikia futari anasema haina neno atapika mwenyewe
 
pole sana YNNAH usijali utapona!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom