mwekundu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 22,475
- 21,046
MCHUNGAJI: Yeyote mwenye pingamizi
la haki kwa ndoa hii asimame na aje
mbele. Mara kibabu kimoja kikasimama na
kwenda mbele !
Bibi harusi alipomuona tu yule babu
akazimia
MCHUNGAJI akamuuliza, tueleze pingamizi
lako!!.
Kibabu kikajibu: Nimeamua kuja mbele
kwasababu kule nyuma sisikii!!!
la haki kwa ndoa hii asimame na aje
mbele. Mara kibabu kimoja kikasimama na
kwenda mbele !
Bibi harusi alipomuona tu yule babu
akazimia
MCHUNGAJI akamuuliza, tueleze pingamizi
lako!!.
Kibabu kikajibu: Nimeamua kuja mbele
kwasababu kule nyuma sisikii!!!