Yesu sio Mungu

Wewe ni mropokaji tu
Ongea kwa Aya kama utaweza:

Humu tunapoteza muda kuongea na Ngumbaru:.
Wewe hata shule ya msingi huitambui iliko:
Mkuu Aya zako zote hazihusiani na mada na ndo maana siwezi jibu leta Aya relevant ujibiwe
 
Kutoka 33:20
"Wewe huwezi kuuona uso wangu, kwa maana mwanadamu hataniona akaishi."

Kutoka 33:11
"BWANA akazungumza na Musa uso kwa uso, kama vile mtu azungumzavyo na rafiki yake."

Isaya 6:
"Katika mwaka ule aliokufa mfalme Uzia, nalimwona Bwana, akeketi kwenye kiti cha enzi chake, na mavumbi yalijazwa hekalu."

Ezekieli 1:28
"Maono ya utukufu wa BWANA... kung’aa kwake kulingana na utukufu wa BWANA."



Hayo ya yohana ikiwa ni maneno ya Yesu mwenyw natoka atheist nakua mkristo hapa Sasa hvi
 
Nasema hivi mtu akija na hoja yeye mashiko kuwa Yesu ni mungu nampa laki 1 niliiweka kwenye kibubu kwa zaidi ya miezi mitatu, ntakupa akiba yangu yote.

Uje umekula mambo ya matusi, sijui roho mtakatifu usiyalete hapa leta hoja nzito

Arianism
Lakini mbona wanasemaga eti mtoto wa nyoka ni nyoka?
 
Mkuu usipotoze mda wako hapo nime mpima nimeona ni mbumbumbu sasa sijui mtaelewana kweli na mbumbumbu
Umbumbumbu wangu nn acha kuamisha magoli nmekuulza mitume kweny ukristo ni watu gani umeshindwa kujibu unakimbilia kweny dhihaka Sasa sio hoja
 
Ngoja wafuasi wa yesu wakuskie wao wanasema ni mungu na alishawahi kufa akakaa siku 3 kaburini dunia ikabaki haina mungu hizo siku 3
 
Hujui hata kwa upande wa uislam nakushauri tafuta maarifa usiwe mbumbumbu mbele za watu jifunze sio ujuaji mwingi alafu hamna kitu.
Mitume Kwa wakristo ni wanafunzi wa Yesu na wengine waliosambaza injili kama nadanganya leta maana yako, hapa tuione bila hvo unaonesha jinsi ulivokua hujui hata dini Yako kama ww ni mkristo
 
Nasema hivi mtu akija na hoja yeye mashiko kuwa Yesu ni mungu nampa laki 1 niliiweka kwenye kibubu kwa zaidi ya miezi mitatu, ntakupa akiba yangu yote.

Uje umekula mambo ya matusi, sijui roho mtakatifu usiyalete hapa leta hoja nzito

Arianism
Mimi kwa tulivyofundishwa toka Utotoni ni kuwa Mungu ni Mmoja ila Ana Nafsi tatu
Mungu Baba= Ambaye ndio Mungu Mkuu
Mungu Mwana= Ambaye ni Yesu Kristo
Mungu roho Mtakatifu=Ambae hutuombea pasikoweza kutamkwa kama nimekosea Nisahihishwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…