Yesu sio Mungu

Yesu sio Mungu

Nasema hivi mtu akija na hoja yeye mashiko kuwa Yesu ni mungu nampa laki 1 niliiweka kwenye kibubu kwa zaidi ya miezi mitatu, ntakupa akiba yangu yote.

Uje umekula mambo ya matusi, sijui roho mtakatifu usiyalete hapa leta hoja nzito

Arianism
Sasa wewe ungeleta ushahidi wa maandiko kutoka source yeyote ile wa kwa nini Yesu si Mungu
 
Ndio maana nikakuambia leta hapa sifa za mungu kulingana na bible inavosema. Na kama hakuna katika bible basi jua Kuwa hicho kitabu hakijakamilika na kwamaana hiyo unatakiwa upuuze hiyo dini. Yaani mungu anye mavi kweli?😂😂
Kama unavyosema ni kweli, wewe ukishindwa kueleza jambo fulani katika dini yako huwa ndicho kipimo kwamba dini yako haijamilika? Kama hivyo ndivyo, mbona hizo sifa za Mungu ulizieleza hujaonyesha umezitoa sehemu gani kwenye kitabu cha dini yako, na kwa hiyo, hiyo dini yako haijakamilika?
 
Nasema hivi mtu akija na hoja yeye mashiko kuwa Yesu ni mungu nampa laki 1 niliiweka kwenye kibubu kwa zaidi ya miezi mitatu, ntakupa akiba yangu yote.

Uje umekula mambo ya matusi, sijui roho mtakatifu usiyalete hapa leta hoja nzito

Arianism
Nasadiki kwa Mungu Baba Mwenyezi
Mwumba mbingu na nchi na vitu vyote vinavyoonekana na visivyoonekana.
Nasadiki kwa Bwana mmoja Yesu Kristu,mwana wa pekee wa Mungu.
Aliyezaliwa kwa Baba tangu milele yote.
Mungu aliyetoka kwa Mungu,mwanga kwa mwanga,Mungu kweli kwa Mungu kweli.
Aliyezaliwa bila kuumbwa, mwenye umungu mmoja na Baba,
ambaye vitu vyote vimeumbwa naye.
Ameshuka toka mbinguni kwa ajili yetu sisi wanadamu na kwa ajili ya wokovu wetu.
Akapata mwili kwa uwezo wa roho mtakatifu kwake yeye Bikira Maria akawa mwanadamu.
Akasulibiwa pia kwa ajili yetu sisi
Akateswa kwa mamlaka ya Ponsyo Pilato,akafa akazikwa.
Akafufuka siku ya tatu ilivyoandikwa.
Akapaa mbiguni, amekaa kuume kwa baba
Atakuja tena kwa utukufu kuwahukumu wazima na wafu nao ufalme wake hautakuwa na mwisho
Nasadiki kwa Roho Mtakatifu Bwana mleta uzima atokaye kwa Baba na Mwana anayeabudiwa na kutukuzwa
pamoja na Baba na Mwana aliyenena kwa vinywa vya manabii.
Nasadiki kwa Kanisa moja,Takatifu Katoliki la mitume
Naungama ubatizo mmoja kwa maondoleo ya dhambi.
Nangojea na ufufuko wa wafu.
Na uzima wa milele ijayo.
 
Nasema hivi mtu akija na hoja yeye mashiko kuwa Yesu ni mungu nampa laki 1 niliiweka kwenye kibubu kwa zaidi ya miezi mitatu, ntakupa akiba yangu yote.

Uje umekula mambo ya matusi, sijui roho mtakatifu usiyalete hapa leta hoja nzito

Arianism
Aya kasome Quran 3.45.

"Na pale Malaika walipo sema: Ewe Maryamu! Hakika Mwenyezi Mungu anakubashiria (mwana) kwa neno litokalo kwake. Jina lake ni Masihi Isa mwana wa Maryamu, mwenye hishima katika dunia na Akhera, na miongoni mwa walio karibishwa (kwa Mwenyezi Mungu)."

Hapo mtarukaruka kuhusu maana ya neno masihi ila ata mtume hakuwahi kuitwa masihi. The Messiah.
 
Kama unavyosema ni kweli, wewe ukishindwa kueleza jambo fulani katika dini yako huwa ndicho kipimo kwamba dini yako haijamilika? Kama hivyo ndivyo, mbona hizo sifa za Mungu ulizieleza hujaonyesha umezitoa sehemu gani kwenye kitabu cha dini yako, na kwa hiyo, hiyo dini yako haijakamilika?
 
Attachments

Siku nilipogundua na kuamini Yesu ni Mungu akili yangu ilifunguka Hadi kesho
 
Ni andiko gani linalounga mkono hoja yako?
M

“Mungu si mtu, aseme uongo; Wala si mwanadamu, ajute...”
Hesabu 23:19

Hamna Mungu ila Mimi, hamna Mwokozi ila Mimi.”
Isaya 43:10-11

“Heri wapatanishi, maana hao wataitwa wana wa Mungu.”
Mathayo 5:9

“Adamu, mwana wa Mungu.”
Luka 3:38

Biblia inatumia wana wa Mungu kwa wingi wa watu wema, waaminifu, na hata viumbe vingine. Yesu kuitwa "Mwana wa Mungu" haimaanishi Mungu ana mtoto wa nasaba kama binadamu, bali ni istilahi ya heshima na jukumu la kipekee.
 
Back
Top Bottom