Munch wa Annabelle
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 6,329
- 10,989
- Thread starter
- #61
Kwann yeye ndo wa kwanza kufufuka?Kwa nini hukuuliza pia kufufuka?
Kwann yeye ndo wa kwanza kufufuka?Kwa nini hukuuliza pia kufufuka?
Mitume mingi ilikua warlord unamzungumzia yupiPia mtume ni muhuni tu warlord tu
Nani aliye fufuka mwenyewe na aliyesema atafufuka kwa muda flani baads ya kifo chake ili isiwe bahati au uzushi wake ?Kwann yeye ndo wa kwanza kufufuka?
Hiyo MUNGU alitaka kuja Duniani aongee na watu wake umeitoa wapi?Ngoja nimwelimishe mtoa mada:
Mungu sio mwanadamu yaani sio mtu:
Hili swala ndio shetani anapo simama na kuwadangaya watu:
Yesu ni binadamu kama anavyo ona mtoa mada:
Hapo kale Mungu aliamua kushuka duniani ili aonge na watu wake:
Sasa anashukaje, maana akija kama alivyo dunia haiwezi kuhimili kishindo chake:
Mungu ni Roho Takatifu na sio mwili, Mungu hana mwili kama huu wetu:
Kwakuwa ni chanzo cha uhai tunamwita Roho Mtakatifu badala ya Roho Takatifu:
Yohana (Joh) 4:24
Mungu ni Roho, nao wamwabuduo yeye imewapasa kumwabudu katika roho na kweli.
Hivyo basi mtu wa kawaida akimwona Yesu anajua kabisa ni mtu:
Kutokana ba Biblia takatifu achaneni na Satanic Verses, Mungu mara nyingi tu alishuka duniani kwa umbo la mtu:
Aliwahi kushuka na kuongena na Ibrahimu kama mtu akiwa na Malaika wawili:
Mwanzo 18:1
Bwana akamtokea Ibrahimu karibu na mialoni ya Mamre, alipokuwa ameketi mlangoni pa hema yake mchana wakati wa hari.
2 Akainua macho yake akaona, na tazama, watu watatu wamesimama mbele yake. Naye alipowaona alipiga mbio kuwalaki kutoka mlangoni pa hema, akainama mpaka nchi,
3 akasema, Bwana wangu, kama nimeona fadhili machoni pako nakuomba usinipite sasa mimi mtumwa wako.
4 Na yaletwe basi maji kidogo mkanawe miguu, mkapumzike chini ya mti huu.
5 Nami nitaleta chakula kidogo, mkaburudishe moyo, baadaye mwendelee, iwapo mmemjia mtumwa wenu. Wakasema, Haya, fanya kama ulivyosema.
6 Basi Ibrahimu akaenda hima hemani kwa Sara, akasema, Himiza vipimo vitatu vya unga safi, uukande, ufanye mikate.
7 Ibrahimu akapiga mbio kwenda kundini, akaleta ndama wa ng'ombe aliye laini, mzuri, akampa mtumishi, naye akahimiza kuiandaa.
........
Yesu alizaliwa kwa mpango wa Mungu ili ashuke katika mwili wake na aongee na watu wake:
Wengi watashangaa hii hoja lakini hawashangai Jini au Mzimu kuingia katika mwili wa mtu na kuongea mambo wanayopenda:
Jini anaweza ila Mungu hawezi wanavyo fikiri:
Soma hapa:
Luka 4:18
Roho wa Bwana yu juu yangu, Kwa maana amenitia mafuta kuwahubiri maskini habari njema. Amenituma kuwatangazia wafungwa kufunguliwa kwao, Na vipofu kupata kuona tena, Kuwaacha huru waliosetwa,
28 Wakajaa ghadhabu wote waliokuwa katika sinagogi walipoyasikia hayo.
(Wayahudi walikasirika kwakuwa waliona amekufuru kwa hilo andiko)
.....
Baada ya kubatizwa na Yohana Mungu alishuka katika umbo la Yesu kwa mfano wa ndege Hua yaani Njiwa:
Toka siku ile Yesu akaanza kuhubiri injiri, kufufua wafu kuponya wagonjwa nk.
Tunaposema Yesu ni Mungu tunauangalia ule muda mchache ambao Mungu alishuka katika mwili wa Yesu:
Hili jambo hata baadhi ya ndugu zake Wayahudi hawakulijua
Yohana 10:30
Mimi na Baba tu umoja.
31 Basi Wayahudi wakaokota mawe tena ili wampige.
32 Yesu akawajibu, Kazi njema nyingi nimewaonyesha, zitokazo kwa Baba; kwa ajili ya kazi ipi katika hizo mnanipiga kwa mawe?
33 Wayahudi wakamjibu, Kwa ajili ya kazi njema hatukupigi kwa mawe; bali kwa kukufuru, na kwa sababu wewe uliye mwanadamu wajifanya mwenyewe u Mungu.
......
Ndio maana kuna wakati Yesu anaonge kama mtu:
"Naona Kiu"
Na kuna wakati anaongea kama Mungu Mwenyezi:
Mathayo 9:2
Na tazama, wakamletea mtu mwenye kupooza, amelala kitandani; naye Yesu, alipoiona imani yao, alimwambia yule mwenye kupooza,
👉Jipe moyo mkuu, mwanangu, umesamehewa dhambi zako.
Hivyo ndivyo ilivyo:
Anayesema Yesu ni Binadamu ni sawa: mwana wa Adam:
Ila katika Lugha ya Kinabii kutokana na Biblia huyu ndiye Yesu na alizaliwa kwa kusudi hili tu:
Isaya 9:6
Maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa,
Tumepewa mtoto mwanamume;
Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake;
Naye ataitwa jina lake,
Mshauri wa ajabu,
Mungu mwenye nguvu,
Baba wa milele,
Mfalme wa amani.
..........
Puuzeni maneno ya Satanic Verses, hizi za juzijuzi tu:
Manabii wa Mungu walishaongea na it is the FINAL:
Mitume hawakuwa makamanda wa jeshi lolote au hawakuwa wapiganaji au mafunzo ya upanga wengi walikuwa wavuvi na watu wa kawaida nani alikuwa mpiganaji kwenye mitume ?Mitume mingi ilikua warlord unamzungumzia yupi
Yesu kufa na kufufuka ilikua inajulika na aliwaambia wanafunzi wake sio jambo la bahati mbaya, pili wapo wengi waliofufuka Eliya na Elisha walifufua pia wafu, Kwauwezo wa MUNGU hakuna linaloshindikana hvo hoja yako ya kufa na kufufuka sio kigezo cha kusema Yesu ni MUNGUNani aliye fufuka mwenyewe na aliyesema atafufuka kwa muda flani baads ya kifo chake ili isiwe bahati au uzushi wake ?
Arianism ni nini?Nasema hivi mtu akija na hoja yeye mashiko kuwa Yesu ni mungu nampa laki 1 niliiweka kwenye kibubu kwa zaidi ya miezi mitatu, ntakupa akiba yangu yote.
Uje umekula mambo ya matusi, sijui roho mtakatifu usiyalete hapa leta hoja nzito
Arianism
Kwanini unazani yesu sio mungu ili tuanze kujadili kwenye upande huo ? unajua mimi bado najifunza kama umegundua kitu kipya kiseme hapaYesu kufa na kufufuka ilikua inajulika na aliwaambia wanafunzi wake sio jambo la bahati mbaya, pili wapo wengi waliofufuka Eliya na Elisha walifufua pia wafu, Kwauwezo wa MUNGU hakuna linaloshindikana hvo hoja yako ya kufa na kufufuka sio kigezo cha kusema Yesu ni MUNGU
Yule aliyetembea na mtoto wa miaka sita MuhammadMitume mingi ilikua warlord unamzungumzia yupi
Uzuri huko mbinguni kila mtu atawajibika peke yake. Wanaoamini acha waamini na wewe usiyeamini baki na imani yako hiyo hiyo.Nasema hivi mtu akija na hoja yeye mashiko kuwa Yesu ni mungu nampa laki 1 niliiweka kwenye kibubu kwa zaidi ya miezi mitatu, ntakupa akiba yangu yote.
Uje umekula mambo ya matusi, sijui roho mtakatifu usiyalete hapa leta hoja nzito
Arianism
Mitume Gani kwanza unaowaongelea wa Yesu au wa MUNGU kama Mussa, Daudi, Yoshua,Suleiman, Ibrahim wote walipgana vitaMitume hawakuwa makamanda wa jeshi lolote au hawakuwa wapiganaji au mafunzo ya upanga wengi walikuwa wavuvi na watu wa kawaida nani alikuwa mpiganaji kwenye mitume ?
Unamatatzo ya akili hii mada huiwezYule aliyetembea na mtoto wa miaka sita Muhammad
Musa na daudi na youshua hawakuwa mitume bali manabiiMitume Gani kwanza unaowaongelea wa Yesu au wa MUNGU kama Mussa, Daudi, Yoshua,Suleiman, Ibrahim wote walipgana vita
Ungeleta kwanza sifa za mwenyezi mungu according to biblia tuone kama Kuna sifa ya mungu kufa na kufufuka.Kwa nini hukuuliza pia kufufuka?
Sikilza ww Mimi sio mjinga Kwa wakristo mitume niwale wanafunzi wa Yesu na wanaosambaza injili hili nalijuaMusa na daudi na youshua hawakuwa mitume bali manabii
niambie nini maana ya nabii
na nini maana ya mitume
Nini maana ya mitumeSikilza ww Mimi sio mjinga Kwa wakristo mitume niwale wanafunzi wa Yesu na wanaosambaza injili hili nalijua
Kwa mantiki hiyo basi usingesema mtume Muhammad angesema nabii Muhammad Toka ulivoanza maana Muhammad hakua mwanafunz wa Yesu wala msambaza habari za Yesu
Ulizonazo wewe ni zipi?Ungeleta kwanza sifa za mwenyezi mungu according to biblia tuone kama Kuna sifa ya mungu kufa na kufufuka.
Ukiniuliza vipi kuhusu kufufuka kwake ntakujibu kuwa ni mungu ndio alimfufua
Mimi naongea kwa maandiko na Aya:Wewe unaamini yesu ni mungu lakini bado umepungukiwa unachanganya roho mtakatifu na mungu baba bado hujui muundo huu utakuwa vipi, kwahiyo hoja yako wewe hapa nikumtambua yesu kama mungu huko pengine unapotosha
Unataka nikujibuje na nishakujibu hapoNini maana ya mitume
na nini maana ya nabii
msaada tafadhali hebu tuongee kama marafiki tu