goswe
JF-Expert Member
- Apr 28, 2018
- 4,880
- 5,752
Endelea na unachokiamini.According to Satanic Verses
Yesu si wakila mtu
Endelea na unachokiamini.According to Satanic Verses
Moto Gani Kuna ANDIKO lolote umenipa?Umekimbia moto, eeh!
Hujaleta andiko wala hojaSema hivi;
Yesu sio Mungu kutokana na Satanic Verses:
Lazima mada yako iseme hilo wazo limetoka wapi:
Maana wengine hawamjui kabisa huyo kiumbe Yesu, sasa watamsoma wapi ili wamjue ?
Na mimi nakuuliza
Huyo Yesu ni nani ?
Umemsoma wapi ?
Lete chanzo cha andiko lako:
Na chanzo cha kupinga au kukubali kwako:
La sivyo utaonekana mbumbumbu tu mbele ya wasomi:
Ulikuwa na sababu gani ya kurudiarudia the same words multiple times? Ungeandika mara moja isingetosha? Sometimes shirikisha ubongo ipasavyo.Maana neno la msalaba kwao wanaopotea ni upuzi, bali kwetu sisi tunaookolewa ni nguvu ya Mungu. Kwa maana imeandikwa,
Nitaangamiza hekima ya wenye hekima,
Na akili za wenye akili nitazikataa. Yu wapi mwenye hekima? Yu wapi mwandishi? Yu wapi mtesi wa dunia hii? Je, Mungu hakuifanya hekima ya dunia kuwa upuzi? Maana kwa kuwa katika hekima ya Mungu dunia haikumjua Mungu kwa hekima yake, ilimpendeza Mungu kuwaokoa waaminio kwa upuzi wa ile habari njema. (1 Wakorintho 1:18-21)
Maana neno la msalaba kwao wanaopotea ni upuzi, bali kwetu sisi tunaookolewa ni nguvu ya Mungu.Ulikuwa na sababu gani ya kurudiarudia the same words multiple times? Ungeandika mara moja isingetosha? Sometimes shirikisha ubongo ipasavyo.
Inayo.Yan ufungwe kisa kusema ukwel Yesu sio Mungu?
Kwani serikal Ina dini?
Hilo andiko lako si barua ya Paulo?Nikikupa hoja sidhani kama utakua na uwezo wa kuelewa: Naomba soma hapa.
Maana neno la msalaba kwao wanaopotea ni upuzi, bali kwetu sisi tunaookolewa ni nguvu ya Mungu. Kwa maana imeandikwa,
Nitaangamiza hekima ya wenye hekima,
Na akili za wenye akili nitazikataa. (1 Wakorintho 1:18-21)
Hicho ndicho kitakacho kuzuia kuelewa.
Huna akili, mtu anafungwa Kwa kutukana Imani nyingne sio Kwa kusema Yesu sio MUNGU katika mijadala, hakuna hiyo sheria na haitakuwepo na hiyo kesi haipo kweny rekodi yeyote ileInayo.
Sina akili kwa kujibu swali lako kuwa Serikali inayo Dini?Huna akili, mtu anafungwa Kwa kutukana Imani nyingne sio Kwa kusema Yesu sio MUNGU katika mijadala, hakuna hiyo sheria na haitakuwepo na hiyo kesi haipo kweny rekodi yeyote ile
Kwani wewe ulitoa andiko gani?Moto Gani Kuna ANDIKO lolote umenipa?
Kwa nini hukuuliza pia kufufuka?Kumbe mungu anakufa?
Kwahiyo hizo siku alizokuwa amekufa nani alikuwa anatupa riziki?
Kwani mungu anaweza kuja duniani ? naomba kuuliza ?Huna akili, mtu anafungwa Kwa kutukana Imani nyingne sio Kwa kusema Yesu sio MUNGU katika mijadala, hakuna hiyo sheria na haitakuwepo na hiyo kesi haipo kweny rekodi yeyote ile
Wewe unaamini yesu ni mungu lakini bado umepungukiwa unachanganya roho mtakatifu na mungu baba bado hujui muundo huu utakuwa vipi, kwahiyo hoja yako wewe hapa nikumtambua yesu kama mungu huko pengine unapotoshaNgoja nimwelimishe mtoa mada:
Mungu sio mwanadamu yaani sio mtu:
Hili swala ndio shetani anapo simama na kuwadangaya watu:
Yesu ni binadamu kama anavyo ona mtoa mada:
Hapo kale Mungu aliamua kushuka duniani ili aonge na watu wake:
Sasa anashukaje, maana akija kama alivyo dunia haiwezi kuhimili kishindo chake:
Mungu ni Roho Takatifu na sio mwili, Mungu hana mwili kama huu wetu:
Kwakuwa ni chanzo cha uhai tunamwita Roho Mtakatifu badala ya Roho Takatifu:
Yohana (Joh) 4:24
Mungu ni Roho, nao wamwabuduo yeye imewapasa kumwabudu katika roho na kweli.
Hivyo basi mtu wa kawaida akimwona Yesu anajua kabisa ni mtu:
Kutokana ba Biblia takatifu achaneni na Satanic Verses, Mungu mara nyingi tu alishuka duniani kwa umbo la mtu:
Aliwahi kushuka na kuongena na Ibrahimu kama mtu akiwa na Malaika wawili:
Mwanzo 18:1
Bwana akamtokea Ibrahimu karibu na mialoni ya Mamre, alipokuwa ameketi mlangoni pa hema yake mchana wakati wa hari.
2 Akainua macho yake akaona, na tazama, watu watatu wamesimama mbele yake. Naye alipowaona alipiga mbio kuwalaki kutoka mlangoni pa hema, akainama mpaka nchi,
3 akasema, Bwana wangu, kama nimeona fadhili machoni pako nakuomba usinipite sasa mimi mtumwa wako.
4 Na yaletwe basi maji kidogo mkanawe miguu, mkapumzike chini ya mti huu.
5 Nami nitaleta chakula kidogo, mkaburudishe moyo, baadaye mwendelee, iwapo mmemjia mtumwa wenu. Wakasema, Haya, fanya kama ulivyosema.
6 Basi Ibrahimu akaenda hima hemani kwa Sara, akasema, Himiza vipimo vitatu vya unga safi, uukande, ufanye mikate.
7 Ibrahimu akapiga mbio kwenda kundini, akaleta ndama wa ng'ombe aliye laini, mzuri, akampa mtumishi, naye akahimiza kuiandaa.
........
Yesu alizaliwa kwa mpangu wa Mungu ili ashuke katika mwili wake na aingee na watu wake:
Wengi watashangaa hii hoja lakini hawashangai Jini au Mzimu kuingia katika mwili wa mtu na kuongea mambo wanayopenda:
Jini anaweza ila Mungu hawezi wanavyo fikiri:
Soma hapa:
Luka 4:18
Roho wa Bwana yu juu yangu, Kwa maana amenitia mafuta kuwahubiri maskini habari njema. Amenituma kuwatangazia wafungwa kufunguliwa kwao, Na vipofu kupata kuona tena, Kuwaacha huru waliosetwa,
28 Wakajaa ghadhabu wote waliokuwa katika sinagogi walipoyasikia hayo.
(Wayahudi walikasirika kwakuwa waliona amekufuru kwa hilo andiko)
.....
Baada ya kubatizwa na Yohana Mungu alishuka katika umbo la Yesu kwa mfano wa ndege Hua yaani Njiwa:
Toka siku ile Yesu akaanza kuhubiri injiri, kufufua wafu kuponya wagonjwa nk.
Tunaposema Yesu ni Mungu tunauangaliw ule muda mchache ambao Mungu alishuka katika mwili wa Yesu:
Hili jambo hata baadhi ya ndugu zake Wayahudi hawakulijua
Yohana 10:30
Mimi na Baba tu umoja.
31 Basi Wayahudi wakaokota mawe tena ili wampige.
32 Yesu akawajibu, Kazi njema nyingi nimewaonyesha, zitokazo kwa Baba; kwa ajili ya kazi ipi katika hizo mnanipiga kwa mawe?
33 Wayahudi wakamjibu, Kwa ajili ya kazi njema hatukupigi kwa mawe; bali kwa kukufuru, na kwa sababu wewe uliye mwanadamu wajifanya mwenyewe u Mungu.
......
Ndi maana kuna wakati Yesu anaonge kama mtu:
"Naona Kiu"
Na kuna wakati anaongea kama Mungu Mwenyezi:
Mathayo 9:2
Na tazama, wakamletea mtu mwenye kupooza, amelala kitandani; naye Yesu, alipoiona imani yao, alimwambia yule mwenye kupooza,
👉Jipe moyo mkuu, mwanangu, umesamehewa dhambi zako.
Hivyo ndivyo ilivyo:
Anayesema Yesu ni Binadamu ni sawa: mwana wa Adam:
Ila katika Lugha ya Kinabii kutokana na Biblia huyu ndiye Yesu na alizaliwa kwa kusudi hili tu:
Isaya 9:6
Maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa,
Tumepewa mtoto mwanamume;
Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake;
Naye ataitwa jina lake,
Mshauri wa ajabu,
Mungu mwenye nguvu,
Baba wa milele,
Mfalme wa amani.
..........
Puuzeni maneno ya Satanic Verses, hizi za juzijuzi tu:
Manabii wa Mungu walishaongea na it is the FINAL:
Hakuna sehemu nimeandika ISSADada yangu Annabella wakati mwengine ili hoja yako iwe nzuri zaidi Andika ISSA SIO MUNGU... Maana kila mtu anajua hio ndio kauli sahihi.
Hivi kuna uchawi huko mtaani kwenu ? naomba kukuuliza ?Awe Mungu au awe mtu inatusaidia nini? Porojo tu
Pia mtume ni muhuni tu warlord tuNasema hivi mtu akija na hoja yeye mashiko kuwa Yesu ni mungu nampa laki 1 niliiweka kwenye kibubu kwa zaidi ya miezi mitatu, ntakupa akiba yangu yote.
Uje umekula mambo ya matusi, sijui roho mtakatifu usiyalete hapa leta hoja nzito
Arianism