Yesu na maria nani kamuumba mwenzake?

Yesu na maria nani kamuumba mwenzake?

Mpe andiko sio porojo🤣🤣🤣
Tunataka waislamu wenye uelewa wa hata dini yso kama mashekh ndiyo waje na hoja hapa maana tukiulizwa tunajibu ila nyinyi mkiulizwa amjibu na mkijibu, majibu yenu yana pingana na logic ya dini yenu wenyewe ...niliuliza hapa na nikasema kuwa MADHEHEBU NI UKAFIRI..WAISLAMU WAKAJA KUPINGA BILA YA ANDIKO 😁😁
 
Sio wewe ndio ulishinda kuleta andiko kuwa kuwa na madhehebu ni ukafiri?

Sasa leo twende kwa maandiko kwanza toa andiko kwamba kuwa na madhehebu ni ukafiri halafu mpe andiko uliloombwa hapo juu

Full stop,no excuse
 
Mlikosa elimu kubwa kwa kukimbia ule mjadala ..ninge kuambieni maana ya ukafiri...hakuna Shekh anaye jua maana ya ukafiri kwa ufasaha kuliko mimi ..kwenye uke uzi uliuliza je uzinzi ni ukafiri nikakujibu kuwa ..Uzinzi unaweza kuwa ukafiri au usiwe ukafiri ...ukuniuliza kivipi ? Ningekupa elimu mujarabu ...TATIZO LENU WAISLAMU NA MASHEKH WENU AMJUI MAANA YA UKAFIRI KWA UPANA WAKE ...NINAPO SEMA MADHEHEBU NI UKAFIRI JUA KUWA NIMEZINGATIA VIGEZO VYOTE SAHIHI VINAVYO FANYA KITU KIITWE UKAFIRI ...KWENYE MADHEHEBU NI UKAFIRI KWA ASILIMIA 100% YOUOTE ALIYE NA MADHEHEBU HUYO NI KAFIRI HAIJALISHI NI DINI GANI.
 
Toa maandiko
 
Toa maandiko
Wala hakuna haja ya maandiko nikishusha logic tu ya UKAFIRI wewe mwenyewe utakubali kuwa mashekh hawajui kitu ..hauta weza kubisha tena ....madhehebu ni ukafiri kwa asilimia 100%.. majuzu uliuliza swali zuri sana ila ukutaka kujua kwanini ..uliuliza je mtu akifanya uzinzi huyo ni kafiri yaani mfano muislamu kafanya uzinzi ...nikakuambia kuwa ndiyo na siyo ..nikakuambia kuwa hupo uzinzi wa ukafiri na upo uzinzi usio ukafiri ni dhambi tu ..ukuniuliza kivipi.
 
Yaani watu tusikilize logic zako?
Kama huna maandiko kaa kimya tushajua umeshindwa
 
1 Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu.
Yohana 1:1

2 Huyo mwanzo alikuwako kwa Mungu.
Yohana 1:2

3 Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika cho chote kilichofanyika.
Yohana 1:3

4 Ndani yake ndimo ulimokuwa uzima, nao ule uzima ulikuwa nuru ya watu.
Yohana 1:4

5 Nayo nuru yang'aa gizani, wala giza halikuiweza.
Yohana 1:5

6 Palitokea mtu, ametumwa kutoka kwa Mungu, jina lake Yohana.
Yohana 1:6

7 Huyo alikuja kwa ushuhuda, ili aishuhudie ile nuru, wote wapate kuamini kwa yeye.
Yohana 1:7

8 Huyo hakuwa ile nuru, bali alikuja ili aishuhudie ile nuru.
Yohana 1:8

9 Kulikuwako Nuru halisi, amtiaye nuru kila mtu, akija katika ulimwengu.
Yohana 1:9

10 Alikuwako ulimwenguni, hata kwa yeye ulimwengu ulipata kuwako, wala ulimwengu haukumtambua.
Yohana 1:10

11 Alikuja kwake, wala walio wake hawakumpokea.
Yohana 1:11

12 Bali wote waliompokea aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa Mungu, ndio wale waliaminio jina lake;
Yohana 1:12

13 waliozaliwa, si kwa damu, wala si kwa mapenzi ya mwili, wala si kwa mapenzi ya mtu, bali kwa Mungu.
Yohana 1:13

14 Naye Neno alifanyika mwili, akakaa kwetu; nasi tukauona utukufu wake, utukufu kama wa Mwana pekee atokaye kwa Baba; amejaa neema na kweli.
Yohana 1:14
 
Andiko lipi linasema Maria alitumika kama njia?

Gal 4:4-7 SUV​

“Hata ulipowadia utimilifu wa wakati, Mungu alimtuma Mwanawe ambaye amezaliwa na mwanamke, amezaliwa chini ya sheria”.

Huyo Yesu alikuwa ni Mwana wa Mungu Hata kabla hajatumwa duniani,umeelewa?.

Yesu haiitwi mwana wa Mungu kwa kuzaliwa na Maryam.maana hata kabla hajazaliwa na Maryam alikuwa kashazaliwa kitambo,alikuwa akisubiri time itimie tu.
 
Dini ni mipango tu ya binadamu. Maana ukitumia sanaa akili katika kudadavua hizi dini mbili unajua tu Kuna vitu viliwekwa au kuandikwa kwa maslahi ya watu au kikundi fulani.

Ila naamini MUNGU yupo.
 
Back
Top Bottom