Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 30,396
- 87,845
tungemallizana tu kibabe!Bora umesema ukweli maana nilikuwa nimejiandaa na silaha za maangamizi😁
tungemallizana tu kibabe!Bora umesema ukweli maana nilikuwa nimejiandaa na silaha za maangamizi😁
Kichwa cha habari kinasemaje? Na baada ya kichwa cha habari umesema aje? Vitu viwili tofauti, nini cha kujadili?Kama kichwa cha habari kinavyojieleza
JE YESU NA MUNGU NANI KAMUUMBA MWENZIE
Karibuni kwenye mada
No matusi
changieni mada bila jazba
Cc Andromeda Galaxy adriz Mshana Jr hamis77 leo dada Zee la madawa GENTAMYCINE Kubwa la Maadui