Yesu na maria nani kamuumba mwenzake?

Yesu na maria nani kamuumba mwenzake?

Kwani we ukinywa maji ukatoka jasho ni jasho ndo limetengeneza maji au maji yametengeza jasho? ?

Nataka kusema nini?

Nataka kusema kuna watu wana macho lakini hawatoona na wana masikio lakini hawatoelewa:

"Wanafunzi wake wakamwendea, wakamwuliza, “Kwa nini unasema na watu kwa mifano?”

Yesu akawajibu, “Nyinyi mmejaliwa kuzijua siri za ufalme wa mbinguni, lakini wao hawakujaliwa.

Maana, aliye na kitu atapewa na kuzidishiwa; lakini yule asiye na kitu, hata kile alicho nacho kitachukuliwa.

Kwao yametimia yale aliyosema nabii Isaya: ‘Kusikia mtasikia, lakini hamtaelewa. Kutazama mtatazama, lakini hamtaona.

Maana akili za watu hawa zimepumbaa, wameyaziba masikio yao, wameyafumba macho yao. La sivyo, wangeona kwa macho yao, wangesikia kwa masikio yao, wangeelewa kwa akili zao, na kunigeukia, asema Bwana, nami ningewaponya."

Mathayo.13.13-15.NENO2025
 
Jibu swali acha taarabu
 
Maana akili za watu hawa zimepumbaa, wameyaziba masikio yao, wameyafumba macho yao. La sivyo, wangeona kwa macho yao, wangesikia kunigeukia, asema Bwana, nami ningewaponya."

Mathayo.13.13-15.NENO2025
Inaonekana huna uelewa una4s ku j bu
 
Kihistoria na kiimani, Yesu ndiye aliyemuumba Maria.Kama Mungu Mwana (Neno), Yesu alikuwepo tangu mwanzo na ndiye aliyemuumba mwanadamu na ulimwengu wote. Maria alipata mimba kwa uwezo wa Roho Mtakatifu, na akamzaa Yesu akiwa mwanadamu, hivyo Yesu alikuwa Mungu na Muumba wake kabla hajazaliwa duniani.Unaweza kupata maelezo zaidi na ya kina ya kiroho kupitia makala ya Jukumu la Maria Katika Kusudi la Mungu au usome zaidi kuhusu mpango wa Mungu katika Bikira Maria na Familia ya Yesu Kristo.
 
Watakwambia bila roho mtakatifu uwez elewa au wakizidiwa sana watasema bible haisomwi kama vitabu vingne

Hapa tegemea majibu ya mawazo binafs ya kila kondoo, hakuna jibu la moja kwa moja
Watakwambia biblia imeandikwa kwa mafumbo ukiwaambia wafumbue wanakwepa au kutukana!!!
 
Huwa mnasema Isa ni Yesu😄😄😄😄😝
Mpaka hapa umeshajua Isa siyo Yesu aliyezaliwa chini ya mtende😄😄😄😄
 
Back
Top Bottom