Johnny Impact
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 5,640
- 9,263
Mariamu na Isa nani kamuumba mwenzake?Inaonekana huna uelewa una4s ku j bu
Mariamu na Isa nani kamuumba mwenzake?Inaonekana huna uelewa una4s ku j bu
Mbona Kichwa cha habari kinakinzana na swali la Yesu na Mungu? Au unataka kutuambia Mungu na Maria ni kitu kimoja. Usichanganye mambo.Kama kichwa cha habari kinavyojieleza
JE YESU NA MUNGU NANI KAMUUMBA MWENZIE
Karibuni kwenye mada
No matusi
changieni mada bila jazba
Cc Andromeda Galaxy adriz Mshana Jr hamis77 leo dada Zee la madawa GENTAMYCINE Kubwa la Maadui
Mariamu na Isa nani kamuumba mwenzake?Gudubai
We jamaa ndo jau kabisa🤣🤣🤣Kwani we ukinywa maji ukatoka jasho ni jasho ndo limetengeneza maji au maji yametengeza jasho? ?
Hakuna aliyeumbaMariamu na Isa nani kamuumba mwenzake?
Isa na mariamu, nani kamuumba mwenzake?We have to go to court...
Mpaka hapa umeshajua Isa siyo Yesu😄😄😄😄😄Hakuna aliyeumba
Sawa lakini mada ni Yesu na si IsaMpaka hapa umeshajua Isa siyo Yesu😄😄😄😄😄
Kichwa cha habari na ulichoandika kwenye habari yenyewe haviendaniKama kichwa cha habari kinavyojieleza
JE YESU NA MUNGU NANI KAMUUMBA MWENZIE
Karibuni kwenye mada
No matusi
changieni mada bila jazba
Cc Andromeda Galaxy adriz Mshana Jr hamis77 leo dada Zee la madawa GENTAMYCINE Kubwa la Maadui
Mpaka hapo Isa siyo Yesu😝😝😝😝Sawa lakini mada ni Yesu na si Isa
Andiko lipi linasema Maria alitumika kama njia?Kwanza; Maria si Mama Yesu.
Maria katumika tu kama njia..Yesu exist hata Dunia haijaumbwa wakati maria ni wa juzi tu.
Sawa tunataka majibu ya swali please🤣🤣Mpaka hapo Isa siyo Yesu😝😝😝😝
Wachana na hsyo maswali tulisha yajibu hapa na waislamu wenzako wakongwe wamekimbia na kunyamaza kimya ..kwa kifupi neno Yesu ni mambo mawili 1)mwili wa Yesu na 2) nafsi ya YesuKama kichwa cha habari kinavyojieleza
JE YESU NA MUNGU NANI KAMUUMBA MWENZIE
Karibuni kwenye mada
No matusi
changieni mada bila jazba
Cc Andromeda Galaxy adriz Mshana Jr hamis77 leo dada Zee la madawa GENTAMYCINE Kubwa la Maadui
Andiko gani hilo?Wachana na hsyo maswali tulisha yajibu hapa na waislamu wenzako wakongwe wamekimbia na kunyamaza kimya ..kwa kifupi neno Yesu ni mambo mawili 1)mwili wa Yesu na 2) nafsi ya Yesu
Hivyo mwili wa yesu ndiyo ulio zaliwa na Maria ila nafsi ya yedu ndiyo baba ndiyo Mungu...hivyo kimwili Yedu ni mdogo wa umri kuliko mama yake au kuliko Ibrahim nk ila kinafsi Yesu ni mkubwa kwa sababu alikuwako milele ni Mungu...
Sina haja ya kukujibu ..jipangeni kwanza na waislamu wenzako ndiyo mje na maswali ya msingi ...siku zote waislamu maswali yenu ni dhaifu kutokana na kuyajenga kwa kujidanganya nyinyi kwa nyinyi ...ngoja niwatagi waislamu wenzako wazoefu waje kukupima kama una maswali ya msingi wanitag ...maana haya unayo uliza tulisha yajibu hapa na wao wakapata elimu kubwa hivyo wanajua logic za mambo ... Al-mukheef adriz FaizaFoxy Malaria 2 Mufti kuku The Infinity Jagina Covax njooni mumpime huyu muislamu mwenzenu kama anao uweza na hoja mni tag tuje mzigoni..Andiko gani hilo?
Ungenipa andiko ingesaidia sana kuliko kuleta ngonjeraSina haja ya kukujibu ..jipangeni kwanza na waislamu wenzako ndiyo mje na maswali ya msingi ...siku zote waislamu maswali yenu ni dhaifu kutokana na kuyajenga kwa kujidanganya nyinyi kwa nyinyi ...ngoja niwatagi waislamu wenzako wazoefu waje kukupima kama una maswali ya msingi wanitag ...maana haya unayo uliza tulisha yajibu hapa na wao wakapata elimu kubwa hivyo wanajua logic za mambo ... Al-mukheef adriz FaizaFoxy Malaria 2 Mufti kuku The Infinity Jagina Covax njooni mumpime huyu muislamu mwenzenu kama anao uweza na hoja mni tag tuje mzigoni..
Jibu swali andiko gani ili tukupe ushindi na ukikosa kuleta andiko unapotezaSina haja ya kukujibu ..jipangeni kwanza na waislamu wenzako ndiyo mje na maswali ya msingi ...siku zote waislamu maswali yenu ni dhaifu kutokana na kuyajenga kwa kujidanganya nyinyi kwa nyinyi ...ngoja niwatagi waislamu wenzako wazoefu waje kukupima kama una maswali ya msingi wanitag ...maana haya unayo uliza tulisha yajibu hapa na wao wakapata elimu kubwa hivyo wanajua logic za mambo ... Al-mukheef adriz FaizaFoxy Malaria 2 Mufti kuku The Infinity Jagina Covax njooni mumpime huyu muislamu mwenzenu kama anao uweza na hoja mni tag tuje mzigoni..
Wewe ni mgeni JF ... watag hao waislamu wenzio hapo nilio watag watakuambia majibu yalikuwajeUngenipa andiko ingesaidia sana kuliko kuleta ngonjera
Ameen mtumishiKwani we ukinywa maji ukatoka jasho ni jasho ndo limetengeneza maji au maji yametengeza jasho? ?
Nataka kusema nini?
Nataka kusema kuna watu wana macho lakini hawatoona na wana masikio lakini hawatoelewa:
"Wanafunzi wake wakamwendea, wakamwuliza, “Kwa nini unasema na watu kwa mifano?”
Yesu akawajibu, “Nyinyi mmejaliwa kuzijua siri za ufalme wa mbinguni, lakini wao hawakujaliwa.
Maana, aliye na kitu atapewa na kuzidishiwa; lakini yule asiye na kitu, hata kile alicho nacho kitachukuliwa.
Kwao yametimia yale aliyosema nabii Isaya: ‘Kusikia mtasikia, lakini hamtaelewa. Kutazama mtatazama, lakini hamtaona.
Maana akili za watu hawa zimepumbaa, wameyaziba masikio yao, wameyafumba macho yao. La sivyo, wangeona kwa macho yao, wangesikia kwa masikio yao, wangeelewa kwa akili zao, na kunigeukia, asema Bwana, nami ningewaponya."
Mathayo.13.13-15.NENO2025