Tetesi: Yerricko Nyerere kutimuliwa CHAUMMA

Anatuhumiwa kushirikiana na Katibu Mkuu Salum Mwalimu aliyekalia kuti kavu kuunga Mikono ccm pamoja na kutafuna hela za Chama

Tulionya Mapema sana kuhusu madhara ya laana ya Usaliti lakini tulipuuzwa

Tunaomba lolote limkute, Amina
Yeriko Nyerere Huwa mnampa umuhimu ambao hana, mimi huwa namuona ni mpumbavu mmoja kama akili za wafuasi wa wafiraji na watekaji humu jf.
 
Anatuhumiwa kushirikiana na Katibu Mkuu Salum Mwalimu aliyekalia kuti kavu kuunga Mikono ccm pamoja na kutafuna hela za Chama

Tulionya Mapema sana kuhusu madhara ya laana ya Usaliti lakini tulipuuzwa

Tunaomba lolote limkute, Amina
porojo za chadema HQ bana dah :pedroP:
 
Anatuhumiwa kushirikiana na Katibu Mkuu Salum Mwalimu aliyekalia kuti kavu kuunga Mikono ccm pamoja na kutafuna hela za Chama

Tulionya Mapema sana kuhusu madhara ya laana ya Usaliti lakini tulipuuzwa

Tunaomba lolote limkute, Amina
Wote hao ni walewale tuu.. Hii ni michezo yao na chamq cha majambazi kututoa kwenye reli
 
Ni Aibu sana
FB_IMG_1782755232627.jpg
 
Back
Top Bottom