Tetesi: Yerricko Nyerere kutimuliwa CHAUMMA

Tetesi: Yerricko Nyerere kutimuliwa CHAUMMA

Chaumma ni genge la wahuni lililowaingiza mkenge akina dada nilikuwa nawaona ni political assets akina Kiwanga,madoga na Catherine Ruge sasa hao kina Dada hatuwataki chadema ni bora wakafie mbele.
Ruge ndiyo kabisaaa kajififisha Kisiasa mwenyewe,sijui haraka ya nini!?2020 Catherine Ruge aliwapiga mwereka CCM Ubunge Jimbo la Serengeti,tena kibabe na Laivu ya bila chenga...Magufuli akaduwaa na akatoa amri atangazwe wa CCM..
 
Back
Top Bottom