Nzokanhyilu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2007
- 1,078
- 101
Nina swali muhimu, kuna mmasaai yeyote yuko UK anataka dili la ku-shoot tangazo? Kama vipi ni-PM, nitawasiliana zaidi wikiendi kama mambo poa. Sitaki mmasai feki.......dili ni 50/50 nasubiri habari zaidi. Yaani bado uhakika. Nitakuunganisha moja kwa moja kwa mtaka huduma.