Yeriko Nyerere usihamishie hasira zako kwa Zitto Kabwe, muacheni Mwami atufundishe siasa

Wewe kwasababu umejaza kamasi tu kwenye hilo fuvu lako, huwezi kuelewa logic iliyopo kwenye mashambulizi ya Zitto. Akili ndogo kama yako haiwezi ng'amua kitu. Ukiwa peke yako usijaribu hata kidogo kuvuka barabara.
Hatari Sana watu mnajua kushambulia Hadi tulionuna tunacheka..
 
Wadau wiki hii nimesoma mabandiko mengi ya ndugu zangu wa ufipa .,naona hasira zao wameamua kuzimalizia kwa ndugu zitto.,nilianza kumsoma na kumsikiliza tundu lissu alivyokurupuka Kama kawaida yake. Nakumparamia mwana mwema zitto kabwe kwamba eti hawakumtuma.mtu akifariki wanaoenda kumzika hawatumwi na aliyefiwa Bali huenda kujitolea kumstili mwendazake. kila mdau wa ufipa au mwanachadema alionekana kuhamishia hasira zake kwa ndugu zito ,nimemsoma pia ndugu yeriko nyerere namuona anapuyanga tu kwa kujaribu sio tu kumvunjia heshima zitto Bali kutaka kuonyesha zitto si kitu.nimwambie tu ndugu yeriko na genge lenu kwamba unafiki hauwezi kuushinda ukweli,na kwa maneno yako zitto kabwe anazidi kuonyesha kuwa ni profesa wa siasa hapa nchini,nimwalimu wa siasa mnapaswa kwenda kujifunza kwake.mmehamishia Vita kwa zitto kwa sababu za kijinga tu.,ukifiwa tambua watakaohudhuria msibani si wewe peke yako. ,na atakae chimba kaburi ni jirani yako .huwezi kuzika peke yako majirani watakusaidia.zitto kawakosea Nini kwa Nini chadema hambadilishi aina siasa Kila mwaka ni zile zile tu,yeriko nyerere nenda darasani ukajifunze siasa na ujue zitto sio level yako hawezi hata kukujibu
Andiko umelitiririsha.
Uneshindwa hata para!
Peny kituo bado unatiririka ndogo!
Asante.
 
Back
Top Bottom