Baada ya aliyekua kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Yeriko Nyerere, kutangaza kujiunga rasmi na Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma). Agosti 6, 2025 makao makuu ya Chaumma yaliyopo Biafra Kinondoni jijini Dar es Salaam, ametoa madai kuhusu kuanguka kwa CHADEMA