Rayban/p
JF-Expert Member
- Jun 30, 2015
- 1,270
- 920
Kumbe hujaolewa afuu unaongeaa namna hiyoo?? Ombaa tobaa na msamahaa mapemaakiherehere sana ana kiwaruwaru kisicho na faida .ona mkewe anavoteseka sasa
Kumbe hujaolewa afuu unaongeaa namna hiyoo?? Ombaa tobaa na msamahaa mapemaakiherehere sana ana kiwaruwaru kisicho na faida .ona mkewe anavoteseka sasa
Mke kama miss Natafuta Mungu aniepushie mbalikiherehere sana ana kiwaruwaru kisicho na faida .ona mkewe anavoteseka sasa
wanawake kama hao hata mashini ni hovyoKwani kakwambia anakutaka? Au unawashwa.wanawake wengine sijui mkoje.
Du kumbe ndivyo hivyo. So sad. Ila huwa wanasema eti watu wafupi wana matatizo ya kupenda kujikwezaHuyo ni type za kina Msigwa tena cha iringa na baba yake anaitwa Msambila masikini tu kama wazazi wetu, badala ya kufanya kazi halali awasaidie wazazi wake, kimekuwa kinajichomeka chomeka kwenye porojo za siasa ambazo hata Clinton Mhowe au hata Fred Lowassa hawezi kufanya. Hakina undugu na Nyerere hata wa ku GOOGLE
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Yericko nyeyere anaoa akili kubwa mwenzake wew hawezi kukuoa..NEEMA wake anamtosha
mkuu kumbe unapajua pale kwao iringa .sijui mzazi wake alikuwa na shida ya figo hivi alishapona?Huyo ni type za kina Msigwa tena cha iringa na baba yake anaitwa Msambila masikini tu kama wazazi wetu, badala ya kufanya kazi halali awasaidie wazazi wake, kimekuwa kinajichomeka chomeka kwenye porojo za siasa ambazo hata Clinton Mhowe au hata Fred Lowassa hawezi kufanya. Hakina undugu na Nyerere hata wa ku GOOGLE
Huyo ni type za kina Msigwa tena cha iringa na baba yake anaitwa Msambila masikini tu kama wazazi wetu, badala ya kufanya kazi halali awasaidie wazazi wake, kimekuwa kinajichomeka chomeka kwenye porojo za siasa ambazo hata Clinton Mhowe au hata Fred Lowassa hawezi kufanya. Hakina undugu na Nyerere hata wa ku GOOGLE
mkuu kumbe unapajua pale kwao iringa .sijui mzazi wake alikuwa na shida ya figo hivi alishapona?
hawa ni watoto WA ccm wanadhani ni niwa kudumu
Labda walikuwa wanamtaka akawachomolea.
Inchi ikiwa na watu wa akili kama hizi mia moja tu. haiwezi piga hatua kwa lolote.
Wewe ZumbuNjiwa au ZumbuKwale ulikamatwa lini?
Sidhani. Mtoto mwenyewe ndo huyo tapeli tu mitandaoni.mkuu kumbe unapajua pale kwao iringa .sijui mzazi wake alikuwa na shida ya figo hivi alishapona?
anaudhi sana jamaa watu wanashabikia tu angekuwa ndugu yao ndo wangeelewaSidhani. Mtoto mwenyewe ndo huyo tapeli tu mitandaoni.
Alikutapeli kitu gani?Halafu Yericko ni taperi taperi usikute amepelekwa kwa kesi hiyo anajificha kupitia siasa
angekuwa ndugu yako ungefurahi anayoyafanya au unandika tu unafiki hapa kwa vile huna uchungu nae hata limpate lipiwanawake kama hao hata mashini ni hovyo
Chama kumuwekea wakili mahiri Peter Kibatala ni msimamo tosha.Chadema Wako wapi kutoa tamko kuhusu kada wake ? Mbona Kipindi Wema Sepetu alipokatwa alipata full support ya chama tena alikuwa bado hajajiunga na CDM?
Au Yericko alikuwa akijipendekeza ndani ya Chama wakati Chama kilikuwa hakina mpango nae na kuamua kumuacha hali iliyosababisha kukosa misimamo.
By the way...JAH will find out the way.
Ngoja asomeshe namba kwanza bangi zimemharibu sanaanaudhi sana jamaa watu wanashabikia tu angekuwa ndugu yao ndo wangeelewa
We ndo mwenye uchungu nae usiemtakia mema kabisaaangekuwa ndugu yako ungefurahi anayoyafanya au unandika tu unafiki hapa kwa vile huna uchungu nae hata limpate lipi
Chadema wanaangalia mtu usoni kabla ya kumsaidia.Yerico ni mpiga kelele tu hana impact yoyote kwa sasa kwenye kile kigenge cha chademaChadema Wako wapi kutoa tamko kuhusu kada wake ? Mbona Kipindi Wema Sepetu alipokatwa alipata full support ya chama tena alikuwa bado hajajiunga na CDM?
Au Yericko alikuwa akijipendekeza ndani ya Chama wakati Chama kilikuwa hakina mpango nae na kuamua kumuacha hali iliyosababisha kukosa misimamo.
By the way...JAH will find out the way.
Peleka kwenu ujinga wako ikiwa haujakamatwa ni wewe tu ila nakuombea likupate jambo zito ambalo hautalisahau ameenWacha Asote si hataki Kukaa Uraiani
We hujiulizi Kwanini Mimi na wewe hatujakamatwa na hatujawahi Kukamatwa?
Mchuma Janga hula na Wakwao.
Mpuuze mwehu ili unufaikeKwani Yericko Nyerere ana utofauti gani na wanaume wengine?