kalimbwane
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 708
- 697
Wala hujakosea aisee ni kweli kabisa siwezi kuwa hadhi yako.sio hadhi yangu wewe kaa kimya .
Wala hujakosea aisee ni kweli kabisa siwezi kuwa hadhi yako.sio hadhi yangu wewe kaa kimya .
Wewe ZumbuNjiwa au ZumbuKwale ulikamatwa lini?Wewe hujawahi kukamatwa kwa sababu wewe ni sawa na Zumbukuku!!
nilisoma juzi kwenye gazeti mkude wa simba anasema eti ni mjukuu wa nyerere . kuna nyerere iringa?Hicho kimbilikimo kwanini kisigongwe hata mvua 15 akili zikakaa sawa, ni tapeli wa hali ya juu. Tapeli mpaka anafikia hatua ya kukataa jina la baba yake, anatumia jina Nyerere kutapeli nyumbx Wasiojielewa
ahahaaaYericko aliwai kuanzisha shindano la kutweet kwa kiswahili, akajifanya atakua anatoa zawadi kila mwezi, akaingia mitini na zawadi.. Ndio mana Chadema hawamuamini ata kidogo
alikukataa nini? Umeolewa?nilisoma juzi kwenye gazeti mkude wa simba anasema eti ni mjukuu wa nyerere . kuna nyerere iringa?
Huyo ni type za kina Msigwa tena cha iringa na baba yake anaitwa Msambila masikini tu kama wazazi wetu, badala ya kufanya kazi halali awasaidie wazazi wake, kimekuwa kinajichomeka chomeka kwenye porojo za siasa ambazo hata Clinton Mhowe au hata Fred Lowassa hawezi kufanya. Hakina undugu na Nyerere hata wa ku GOOGLEnilisoma juzi kwenye gazeti mkude wa simba anasema eti ni mjukuu wa nyerere . kuna nyerere iringa?
kwa nini huna mume, yachts mume ondoka jf utafute mumeanaemtaka nani?
kwa siri kudanga ni niniBora ukae kimya tu,unajidhalilisha..ni bora uendelee na kazi yako ya kudanga siasa hutaziweza!!
Vijana wa ccm ni ruksa kutukana.ndio maana hamkamatwi.Wacha Asote si hataki Kukaa Uraiani
We hujiulizi Kwanini Mimi na wewe hatujakamatwa na hatujawahi Kukamatwa?
Mchuma Janga hula na Wakwao.
Inchi ikiwa na watu wa akili kama hizi mia moja tu. haiwezi piga hatua kwa lolote.harakati gani anafanya ? analipwa?
Kwani kakwambia anakutaka? Au unawashwa.wanawake wengine sijui mkoje.anaemtaka nani?
Halafu waambie amesha toka yuko nje mwa dhamanaHivi Yerico Nyerere aliwakosea nini hawa wadada wiwili? Nahisi kuna kitu aliwauzi sio bure. Poleni sana wapendwa kama kuna kitu aliwakera. Msameheni bure.
Nifah Miss Natafuta
Moshi msibaniChadema Wako wapi kutoa tamko kuhusu kada wake ? Mbona Kipindi Wema Sepetu alipokatwa alipata full support ya chama tena alikuwa bado hajajiunga na CDM?
Au Yericko alikuwa akijipendekeza ndani ya Chama wakati Chama kilikuwa hakina mpango nae na kuamua kumuacha hali iliyosababisha kukosa misimamo.
By the way...JAH will find out the way.
Wewe unamtaka si ndo maana unamzungumzia.nani anamtaka hapa kwanza?
akili uliyonayo ni ya kuvukia barabara tu.i don care
Labda walikuwa wanamtaka akawachomolea.Hivi Yerico Nyerere aliwakosea nini hawa wadada wiwili? Nahisi kuna kitu aliwauzi sio bure. Poleni sana wapendwa kama kuna kitu aliwakera. Msameheni bure.
Nifah Miss Natafuta
hawa ni watoto WA ccm wanadhani ni niwa kudumuUkiona mwenzio ananyolewa wewe tia maji kama wewe ni mtoto wa bosi ipo siku itafika na utakwenda nawe kuhifadhiwa.