Yericko Nyerere kizimbani

Tundu Lisu amewahi kumuonya huyu dogo ....kiukweli pamoja na kushiriki kikamilifu kutetea hoja zake nyingi kipindi ninaunga mkono harakati za ukombozi kupitia Chadema lakini uzushi mwingine haujengi ...sometimes unahitaji busara ya kuchagua cha kuandika ....
 
Mpk sasa kaishakula makofi km mia nane.
Too late kaka.
Teh teh teh
Mbona unakazana kuchangia mwenyewe.Unaogopa thread inaelekea kudoda?haya kamwambie mkeo leo umeanzisha thread.
 
Niliwahi kumuonya humu JF mara nyingi kuhusu uongo anaozua hakunielewa.
 
Dogo wamemtosa vibaya khaa kiherehere choootee kile kama kuku mwenye yai anaumbuka hivihivi
 

Ona kipindi kile wakati Lowasa yupo ccm
 

Attachments

  • 1450412909985.jpg
    32.9 KB · Views: 521
Hizi kesi za kuungaunga zinapoteza muda bure wa polisi na mahakama zetu.

Hivi vyombo vingeweza kutumia muda huo kushughulikia mambo/kesi zenye tija zaidi kwa taifa badala ya kupoteza muda kwa vitu trivial kama hivi. Sidhani kama vijikesi kama hivi vinaendana falsafa ya "hapa kazi tu"!


IGP Mangu kaa chonjo, Dr Hosea wa TAKUKURU amekwishapata hukumu yake. Naona ujambazi unashika kasi.
 
Hii kesi ngumu sana inabidi wafuasi wa Chadema wamchangie pesa apate wakili mzuri zaidi ya hapo anaenda jela.
Kweli maana akiponea tundu la sindano ni mwaka mmoja jela...
 
Umesikia wapi hayo?

Nisikilize mimi sasa, ninao mawakili wasomi wazuri wakiongozwa na Kamanda Peter Kibatala na Fred Kiwelu.

We jamaa ni mnafiki balaa
 

Attachments

  • 1450520384399.jpg
    33 KB · Views: 418
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…