Yericko Nyerere kizimbani

Yericko Nyerere kizimbani

Waende kona Tundu lissu kumsaidia!

Waende kona nani na nani!
Na kwanini iwe kona!
Hapa ni miaka 5 kwa uchache.
Hakuna tena kumsikia huyu mtoto akitukana Serikali kila siku.

Wananchi lzm wajue Hii nchi ina sheria.
Huwezi kuja Ktk Majukwaa ukatukana Rais na Viongozi wote kisa umepewa uhuru wa kuongea.

Hii IWE FUNDISHO HATA HAPA Jf.
 
acha kupayuka na kujifanya hakimu!ebu kwa kuanza isome sheria husika and then itafuta charge sheet!ukitoka hapo tafuta vifungu vyote alvyo vivunja yeriko na defences zake na jinsi ya kuvizunguka!
acha kudanyanya watu hapa!ebu wafwate wanasheria wakusaidie...narudia tena:KESI RAHISI,ANASHINDA AND THEN ITARAHISISHA MASHAURI MENGNE YAFANANA NAYO NA HILI KUAMRIWA VZURI KWANI HUKUMU YA ITATUPA "PRECEDENT"!
 
Kesi Nyepesi angewekewa Dhamana ya Milion 5 na mdhamini mwenye mali isio hamishika?

Nyie kaeni tayari kusikia Anakula miaka si chini ya 6 jela.

watu wanaweka bond tillioni moja,sembuse twumilioni!halafu ushaanza kuhukumu,na ww ni popo la mahakimu nn?ahahaha!no is quilty before the court,until the court says otherwise...tulia nyerere awanyooshe!
 
acha kupayuka na kujifanya hakimu!ebu kwa kuanza isome sheria husika and then itafuta charge sheet!ukitoka hapo tafuta vifungu vyote alvyo vivunja yeriko na defences zake na jinsi ya kuvizunguka!
acha kudanyanya watu hapa!ebu wafwate wanasheria wakusaidie...narudia tena:KESI RAHISI,ANASHINDA AND THEN ITARAHISISHA MASHAURI MENGNE YAFANANA NAYO NA HILI KUAMRIWA VZURI KWANI HUKUMU YA ITATUPA "PRECEDENT"!

We lalama usiku mchana lkn huyu mtoto ataeleza hayo madai na kashfa zake.
Asipoleta Ushahidi wa Madai yake LZM AENDE KUCHEZEA mikojo Keko.

Hio kubali kataa.
 
watu wanaweka bond tillioni moja,sembuse twumilioni!halafu ushaanza kuhukumu,na ww ni popo la mahakimu nn?ahahaha!no is quilty before the court,until the court says otherwise...tulia nyerere awanyooshe!

Not such a thing as "quilty"!
Its Guilty young man.
And this boy is going for a ride soon.
Watch this space.

Na wewe itabidi Uchunguzwe.
Endelea Kuropoka tu.
 
Waende kona nani na nani!
Na kwanini iwe kona!
Hapa ni miaka 5 kwa uchache.
Hakuna tena kumsikia huyu mtoto akitukana Serikali kila siku.

Wananchi lzm wajue Hii nchi ina sheria.
Huwezi kuja Ktk Majukwaa ukatukana Rais na Viongozi wote kisa umepewa uhuru wa kuongea.

Hii IWE FUNDISHO HATA HAPA Jf.

Nilitype fasta bila kuhariri, 'kona' nilimaanisha 'kina', na comment yangu ilikuwa ya utani zaidi, huyu jamaa anahitaji akapewe somo la nidhamu kwanza na utii wa sheria!
 
We lalama usiku mchana lkn huyu mtoto ataeleza hayo madai na kashfa zake.
Asipoleta Ushahidi wa Madai yake LZM AENDE KUCHEZEA mikojo Keko.

Hio kubali kataa.

pole wee,jamhuri haina vithibitisho vya uhakika kumfunga,ndio maana kesi inapgwa tarehe kila siku!cha kuchekesha akaunti zote za social networks wanazo,ila until today bado wana mbwela2!kesi ya kisiasa hii,wala haimuumizi kichwa yeriko,we tulia uone chezo lnavyokwenda!
 
Nilitype fasta bila kuhariri, 'kona' nilimaanisha 'kina', na comment yangu ilikuwa ya utani zaidi, huyu jamaa anahitaji akapewe somo la nidhamu kwanza na utii wa sheria!

Tena Sanaa tu.

Anamtukana RAIS wa JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA km wale walevi wa Viroba?
Amekuwa nani huyu mtoto?
 
Not such a thing as "quilty"!
Its Guilty young man.
And this boy is going for a ride soon.
Watch this space.

Na wewe itabidi Uchunguzwe.
Endelea Kuropoka tu.

yericko aint goin' nowhere sonny,n' for yo information yericko gonna *** out this fuckin case,nice and easy n' if yo hatin' on yericko,go and lick some limaoz!ahahaha!
and nobody gonna pinch me for standing up to justice!
 
Who can confirm that Yericko is the one who uploaded that message!? hackers! Kesi nzuri sana!
 
Hii kesi ngumu sana inabidi wafuasi wa Chadema wamchangie pesa apate wakili mzuri zaidi ya hapo anaenda jela.
Kesi ya kisiasa za kiCCM utaona washtaki watakavyoomba poo. Anajitetea mwenyewe hahitaji hata mchango wako wa huruma. Nenda kachochee kuni ziteketee tu ziwe majivu maana mmezoea kuumbuka
 
pole wee,jamhuri haina vithibitisho vya uhakika kumfunga,ndio maana kesi inapgwa tarehe kila siku!cha kuchekesha akaunti zote za social networks wanazo,ila until today bado wana mbwela2!kesi ya kisiasa hii,wala haimuumizi kichwa yeriko,we tulia uone chezo lnavyokwenda!

Sawa mwanasheria Wa jf Mr Kimba
 
Sawa mwanasheria Wa jf Mr Kimba

yericko aint goin' nowhere sonny,n' for yo information yericko gonna *** out this fuckin case,nice and easy n' if yo hatin' on yericko,go and lick some limaoz!ahahaha!
and nobody gonna pinch me for standing up to justice!

Huyu kilimba akiwa mwanasheria basi Yericko atakuwa professor wa Havard University.

Teh teh teh.

Nyie Kaeni mkao wa Kula mtoto huyu akanyee kwenye ndoo.
 
Hizi sheria za mitandaoni zimefanya Tanzania iwe kama Iran au China vile, hii monitoring ni ya kipuuzi. Siungani na Yericko hata kidogo sababu jamaa naye alikua kazidi kupost uongo hadi kero, sema sipendi kuona Tanzania wananyima watu freedom of speech kiasi hiki, yaani democracy imepotea kabisa tumekaa tunacheka tu, kusema mtu alidanganya shida iko wapi? Kila mtu anadanganya hiyo ni kama human nature, mambo yanayofanyika online sio ya kuyachukulia serious namna hiyo, kosa alilonalo Nyerere tukisema tunasakua humu JF ambaye ashawahi danganya chochote tutakamata 90% ya members wa JF. Hii ndio law stupid kabisa toka waanze kupitisha bills Tanzania.
 
Humu JF kuna watu kila siku wanamtukana Kikwete. Wengine matusi na udhalilishaji haviishi kwa Lowassa. Wote hawa hawatulii. I wish wote wakamatwe. 😬
 
Ina maana mimi ndio nishapotoshwa? Naona asilimia kubwa ya mashtaka mi naamini ni kasema ukweli tu! Nani asiyejua kuwa nchi yetu haki ni bonge la jipu?
 
Teh teh teh.
Mkuu hujasikia pombe magufuli kasema anataka Kufuta Ruzuku za vyama vya upinzani?

Sasa hio pesa wapate wapi? Labda wazee wa viroba kina matumbo na Nicholas waanzishe mradi mpya wa Chibuku pale Mbagala.

Unaota ruzuku kufutwa ni ndoto
Ccm nao warudishe viwanja na majumba waliojigawia bila aibu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom