Yericko Nyerere kizimbani

Yericko Nyerere kizimbani

Haya wamasaki sema maana ya MTU anaishi

Watu wanaishi URAIANI.
Jela Wahalifu wanawekwa Wasife tu lkn chamoto wanakiona.

Hio ndio tofauti.
Wa masaki sio mimi labda Slaa.
 
Kuna watu wako uraiani lkn maisha yao Ni zaidi ya jela

Sio Jela za bongo kijana.
Kamuulize Yericko ndio atakupa habari kamili.
Uraiani mambo ya Wanname kuoana Ni ya Hiari.
Huko Hiari hakuna.

Ukipendwa tu we kaanze kupaka Wanja kabisa.
 
Yerico ana mambo makubwa kuliko alivyo.
 
Wako busy kusoma mitandaoni badala ya kufanya mpango wa kupata chopa vibaka wanapora ovyo dar inakua kama sehemu ya kujifunza kuiba na vinafanikiwa kesi za mitandao kesi za mitandao..huo sio ujambazi ni Vibaka nenda Johannesburg ukaone majambazi na jinsi police walivyofundishwa kukabiliana na serious crime ..watu wanaiba kwa kutumia pk pk wanafanikiwa ? Mnakuja na kesi hazina kichwa wala miguu wakati hawa vibaka wanaendelea kuua...
 
aliandika mambo ya kweli....uogo ni upi alio uwandika?
 
Wewe utakuwa na nasaba za kuolewa mbona umekimbilia kuzaaaa duh! Ni dalili za ......
Mkatamauno mtoto wa kiume utajiitaje hivyo afu unataka kujenga hoja na mimi kidume cha mbegu endekea kukatika tu mkuu
 
Back
Top Bottom