DuppyConqueror
JF-Expert Member
- Mar 30, 2014
- 9,466
- 6,970
Leo huyu fisi kawa mfanyabiashara?? Mi nilijua yeye ni jasusi
Hii kesi ngumu sana inabidi wafuasi wa Chadema wamchangie pesa apate wakili mzuri zaidi ya hapo anaenda jela.
Pakulala hana ujasusi autoe wapiLeo huyu fisi kawa mfanyabiashara?? Mi nilijua yeye ni jasusi
Hahaaha dah ! jasusi wa bavichaLeo huyu fisi kawa mfanyabiashara?? Mi nilijua yeye ni jasusi
Umepanick brazaHaaa maliyam okay aka haaa mym
Mambo ya kuzuazua.Lazima ale mvua.tena nyingi tu.
Hio ni kazi ya Mahakama.
Chunga tu na wewe usijedakwa na Dola kwa kuiona Serikali haina busara.
Amzalie watoto kinyume cha maumbile.Huyu jamaa mi naomba akienda jela wamuweke chumba kimoja na Nyapara ili amzalie watoto
aliandika mambo ya kweli....uogo ni upi alio uwandika?
Teh teh teh mkuu mi hapo sijuiAmzalie watoto kinyume cha maumbile.
Hii kesi ngumu sana inabidi wafuasi wa Chadema wamchangie pesa apate wakili mzuri zaidi ya hapo anaenda jela.
Sio Jela za bongo kijana.
Kamuulize Yericko ndio atakupa habari kamili.
Uraiani mambo ya Wanname kuoana Ni ya Hiari.
Huko Hiari hakuna.
Ukipendwa tu we kaanze kupaka Wanja kabisa.
Hii kesi ngumu sana inabidi wafuasi wa Chadema wamchangie pesa apate wakili mzuri zaidi ya hapo anaenda jela.
Wako busy kusoma mitandaoni badala ya kufanya mpango wa kupata chopa vibaka wanapora ovyo dar inakua kama sehemu ya kujifunza kuiba na vinafanikiwa kesi za mitandao kesi za mitandao..huo sio ujambazi ni Vibaka nenda Johannesburg ukaone majambazi na jinsi police walivyofundishwa kukabiliana na serious crime ..watu wanaiba kwa kutumia pk pk wanafanikiwa ? Mnakuja na kesi hazina kichwa wala miguu wakati hawa vibaka wanaendelea kuua...
naona unamshupalia yericko!ila nikuvunje zaidi moyo,ebu tafuta mwanasheria akufafanuliwe vifungu vyote vya sheria ya makosa ya mtandaoni na regulations zake,halafu pia akufafanulie na defences zake!kisha uje hapa!narudia tena kesi hii nyepesi iko personal!hapo sana2 naona mnazd kumpaisha yeriko...ahahaha