Yericko Nyerere ashindwa Uchaguzi CHADEMA

Yericko Nyerere ashindwa Uchaguzi CHADEMA

Status
Not open for further replies.

PAPAA JIWE

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2014
Posts
866
Reaction score
151
Katika hali iliyotarajiwa, Bwana Yericko Nyerere a.k.a nitoke vipi, amebwagwa chini katika uchaguzi uliofanyika leo.

Nafasi aliyokuwa anawania ni ya ujumbe-mkutano mkuu Taifa na ameambulia kura 48, akipitwa na Rwekaza mwenye kura 69.

Akijitetea katika kuanguka, Yericko alisema hajulikani na hakupiga kampeni. Lakini kimsingi alipishana na Dr. Slaa baada ya kumtuhumu kuporomoka.

Pole Yericko.
 
YERICKO NYERERE hayo ndio malipo ya USALITI, SLAA amekutumia sasa kakuchoka , pole sana.
 
Yericko anaweza kupata kura akigombea Humu JF... tena kwa kura za huruma tu
 
Sasa huyu Yeriko ataweza kitu gani? Kila anakojaribu anaangukia pua.
 
Kumbe hata chadena wenyewe wanajua kuwa hafai hata kuongoza meza ya mama ntilie
 
Kweli unafiki na uchochezi ni tunda la giza na inahitaji wito kutoka kwa shetani moja kwa moja. Sasa hapa unamwingiza Dr Slaa kwa lipi? Ndiye aliyepiga kura?

Uchonganishi na ufitini ni tabia ya shetani. Itakula kwenu.

Jericho Nyerere ni mtu shupavu, makini na mwungwana. Ungekuwa na aibu japo kdgo ungeishia zako alipokupa sababu za msingi za kutokuchagliwa. Unataka nini tena?

Fahamu kwamba Watu kama Jericho Nyerere hawako kwenye chama kwa ajili ya kuchaguliwa kuwa viongozi na wasipochaguliwa wanakwenda kuchukua fedha ccm kama Yuda Iskariota. Msidhani mtamfitinisha Jericho na chama chake kwa habari za kishabiki.

Jericho anajua kama ni uongozi siyo lazima iwe nafasi hiyo tu. Chama kinahitaji watu makini na wenye nguvu na uelewa katika nyanja zote. Imekula kwenu. CDM wanasonga mbele.
Katika hali iliyotarajiwa, Bwana Yericko Nyerere a.k.a nitoke vipi, amebwagwa chini katika uchaguzi uliofanyika leo.

Nafasi aliyokuwa anawania ni ya ujumbe-mkutano mkuu Taifa na ameambulia kura 48, akipitwa na Rwekaza mwenye kura 69.

Akijitetea katika kuanguka, Yericko alisema hajulikani na hakupiga kampeni. Lakini kimsingi alipishana na Dr. Slaa baada ya kumtuhumu kuporomoka.

Pole Yericko.
 
Punguza munkari

Kweli unafiki na uchochezi
ni tunda la giza na inahitaji wito kutoka kwa shetani moja kwa moja.
Sasa hapa unamwingiza Dr Slaa kwa lipi? Ndiye aliyepiga kura?

Uchonganishi na ufitini ni tabia ya shetani. Itakula kwenu.

Jericho Nyerere ni mtu shupavu, makini na mwungwana. Ungekuwa na aibu
japo kdgo ungeishia zako alipokupa sababu za msingi za kutokuchagliwa.
Unataka nini tena?

Fahamu kwamba Watu kama Jericho Nyerere hawako kwenye chama kwa ajili ya
kuchaguliwa kuwa viongozi na wasipochaguliwa wanakwenda kuchukua fedha
ccm kama Yuda Iskariota. Msidhani mtamfitinisha Jericho na chama chake
kwa habari za kishabiki.

Jericho anajua kama ni uongozi siyo lazima iwe nafasi hiyo tu. Chama
kinahitaji watu makini na wenye nguvu na uelewa katika nyanja zote.
Imekula kwenu. CDM wanasonga mbele.
 
mtoa mada nadedicate hii ngoma kwako "WANAUME KAMA MABINTI"

BTW

gud job yericko
 
Tunasibiri Update kwa Kamanda wetu Yericko...

Mnadhani mtatutoa kwenye mada..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom