Yericko Nyerere ashindwa Uchaguzi CHADEMA

Yericko Nyerere ashindwa Uchaguzi CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Hahahaha, anakaribishwa kwa mikono miwili. Njoo uonje demokrasia ya kweli, hakika utajilaumu kwa nn umepoteza wakati wako chdm

Unamkaribisha kwenye chama cha (chukua chako mapema) mnataka mkamuambukize urafi?.nakujilimbikizia rasilimali za uma.ziwe za kwenu mmoja mmoja binafsi na watoto zenu. Acheni uvivu.
 
Unamkaribisha kwenye chama cha (chukua chako mapema) mnataka mkamuambukize urafi?.nakujilimbikizia rasilimali za uma.ziwe za kwenu mmoja mmoja binafsi na watoto zenu. Acheni uvivu.

Huko aliko usijeshangaa akaitwa msalti akiinglia mishe za wenye hsa za chama. Karibu ccm karibu chama chenye uzoefu wa uongoz, karbu lumumba mkuu
 
As crazy as this might sound,write yourself an apology note.This will reinforce the respect you need to have for yourself to be able to face the internal challenges
 
Pamoja na kuwa umeileta taarifa hii hapa, lakini umeileta kwa malengo yako na kuingiza maneno ambayo sikuyasema ama hayapo kabisa,

Baaada ya uchaguzi kuisha, niliwaambia hivi makutano.
Ni sababu zipi zilizokufanya usifanye kampeni? Na Ni kwa nini hujurikani Kigamboni ila mimi wa Kimanzichana nakujuwa?

Nitashukuru ukijibu hayo maswali mawili.
 
Mnhhhhh vurugu zote zile alizofanya wamemmwaga?? Amefanywa Kama big G wamemtumia na sasa wanamtema kiaina
 
Hahahaha, anakaribishwa kwa mikono miwili. Njoo uonje demokrasia ya kweli, hakika utajilaumu kwa nn umepoteza wakati wako chdm
Kweli kabisa mkuu ni kupoteza sana muda kule, bt hajachelewa unaambiwa mjinga ni kwenda tu!
 
Pamoja na kuwa umeileta taarifa hii hapa, lakini umeileta kwa malengo yako na kuingiza maneno ambayo sikuyasema ama hayapo kabisa,

Baaada ya uchaguzi kuisha, niliwaambia hivi makutano.

CDM ina wenyewe, wewe nafasi ya uongozi iko ACT
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom