Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,188
- 28,890
Jamani wana JF na Watanzania wote tukae mkao kula tukimsubiri Kamanda shupavu Yericko Nyerere kwa update kutoka kwake..
Last edited by a moderator:
Sasa huyu Yeriko ataweza kitu gani? Kila anakojaribu anaangukia pua.
Mtafutieni nafasi nyingine ya kupatia posho ili mkono uende kinywani.
Vinginevyo atahamia ACT.
Chadema kimejaa wanafiki, humu wanamssuport lakini kwenye box wanamuangusha, no wonder CCM inaendelea kushinda...na bado mtalalamika sana
Mtafutieni nafasi nyingine ya kupatia posho ili mkono uende kinywani.
Vinginevyo atahamia ACT.
Mbona Mang'ula Philip
aligombea uenyekiti wa mkoa CCM Njombe akaanguka na baadae kaukwaa
umakamu mwenyekiti Taifa na kuwa bosi wa huyo mwenyekiti aliyemshinda
huko Njombe? Uchaguzi ni kushinda au kushindwa. Ndio kawaida na harakati
za kisiasa zinaendelea.
Natumaini kwa kushindwa huku hakutamtoa Yericko katika kutumwagia nondo
hapa JF zinazowanyima usingizi maccm na wale watoto wao wa kambo ACT.
Sent from my iPad using JamiiForums
Kuna vingine vingi tu anaviweza, ila huwezi kumruhusu akujaribie!
Naomba niwasalimie
waungana kwenye Uzi huu..,baada ya salamu na naendelea na kuperuzi
kwenye thread nyingine...!!!
Katika hali iliyotarajiwa, Bwana Yericko Nyerere a.k.a nitoke vipi, amebwagwa chini katika uchaguzi uliofanyika leo.
Nafasi aliyokuwa anawania ni ya ujumbe-mkutano mkuu Taifa na ameambulia kura 48, akipitwa na Rwekaza mwenye kura 69.
Akijitetea katika kuanguka, Yericko alisema hajulikani na hakupiga kampeni. Lakini kimsingi alipishana na Dr. Slaa baada ya kumtuhumu kuporomoka.
Pole Yericko.