Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,664
Naomba niwasalimie waungana kwenye Uzi huu..,baada ya salamu na naendelea na kuperuzi kwenye thread nyingine...!!!
umeitwa??? Shugulika na maccm+act
Naomba niwasalimie waungana kwenye Uzi huu..,baada ya salamu na naendelea na kuperuzi kwenye thread nyingine...!!!
Yericko anaweza kupata kura akigombea Humu JF... tena kwa kura za huruma tu
Kweli unafiki na uchochezi ni tunda la giza na inahitaji wito kutoka kwa shetani moja kwa moja. Sasa hapa unamwingiza Dr Slaa kwa lipi? Ndiye aliyepiga kura?
Uchonganishi na ufitini ni tabia ya shetani. Itakula kwenu.
Jericho Nyerere ni mtu shupavu, makini na mwungwana. Ungekuwa na aibu japo kdgo ungeishia zako alipokupa sababu za msingi za kutokuchagliwa. Unataka nini tena?
Fahamu kwamba Watu kama Jericho Nyerere hawako kwenye chama kwa ajili ya kuchaguliwa kuwa viongozi na wasipochaguliwa wanakwenda kuchukua fedha ccm kama Yuda Iskariota. Msidhani mtamfitinisha Jericho na chama chake kwa habari za kishabiki.
Jericho anajua kama ni uongozi siyo lazima iwe nafasi hiyo tu. Chama kinahitaji watu makini na wenye nguvu na uelewa katika nyanja zote. Imekula kwenu. CDM wanasonga mbele.
Paragraph ya mwisho ndio iliyosababisha Asichaguliwe....tumekuelewa
Katika hali iliyotarajiwa, Bwana Yericko Nyerere a.k.a nitoke vipi, amebwagwa chini katika uchaguzi uliofanyika leo.
Nafasi aliyokuwa anawania ni ya ujumbe-mkutano mkuu Taifa na ameambulia kura 48, akipitwa na Rwekaza mwenye kura 69.
Akijitetea katika kuanguka, Yericko alisema hajulikani na hakupiga kampeni. Lakini kimsingi alipishana na Dr. Slaa baada ya kumtuhumu kuporomoka.
Pole Yericko.
Makamanda uchaguzi Kigamboni Umekwisha, wapiga kura walistahili kuwa 176, lakini walihudhuria walikuwa ni 98% ya 176.
Nafasi niliyogombea mimi ilikuwa ni ya ujumbe wa mkutano mkuu Taifa, wagombea tulikuwa 6, mimi nimepata kura 49, nimekuwa mshindi wa pili dhidi ya mshindi wa kwanza aitwae Rwekaza(kama sijakosea jina) aliyepata kura 68,
Nawashukuru sana wapigakura na wanachadema wote wa Kigamboni kwa support yao kwangu, kwakuwa nilikuwa sifahamiki kabisa katika siasa za kigamboni na wala sikupata fursa ya kupiga kampeni kabisa.
Pamoja na kuwa umeileta taarifa hii hapa, lakini umeileta kwa malengo yako na kuingiza maneno ambayo sikuyasema ama hayapo kabisa,
Baaada ya uchaguzi kuisha, niliwaambia hivi makutano.
Yericko Nyerere acha asubirie nafasi ya kuteuliwa na Mbowe
By Yericko Nyerere![]()
Makamanda uchaguzi Kigamboni Umekwisha, wapiga kura walistahili kuwa 176, lakini walihudhuria walikuwa ni 98% ya 176.
Nafasi niliyogombea mimi ilikuwa ni ya ujumbe wa mkutano mkuu Taifa, wagombea tulikuwa 6, mimi nimepata kura 49, nimekuwa mshindi wa pili dhidi ya mshindi wa kwanza aitwae Rwekaza(kama sijakosea jina) aliyepata kura 68,
Nawashukuru sana wapigakura na wanachadema wote wa Kigamboni kwa support yao kwangu, kwakuwa nilikuwa sifahamiki kabisa katika siasa za kigamboni na wala sikupata fursa ya kupiga kampeni kabisa.
Tatizo hao vijana wa bavicha na mashabiki wao wamekalia kutafuta umaarufu wa kijinga kwenye mitandao ya kijamii wakati wenzao wanaojitambua wako kitaa wanajiwekeza kwa wanachama hai.
Hiyo picha ya yerere ndio taswira halisi ya chadema. Wako busy kwenye mitandao wanawatukana waasisi wa taifa pamoja na viongozi wakati wenzao wako vijijini wanawatumikia wananchi kwa ukaribu. Unategemea kwenye chaguzi nini kitatokea???
Kaka Ben saa8 takecare, kwenye field watu ni wanafiki wanaweza kukusaport kwenye mitandao wasikupe kura kwenye uchaguziTatizo hao vijana wa bavicha na mashabiki wao wamekalia kutafuta umaarufu wa kijinga kwenye mitandao ya kijamii wakati wenzao wanaojitambua wako kitaa wanajiwekeza kwa wanachama hai.
Hiyo picha ya yerere ndio taswira halisi ya chadema. Wako busy kwenye mitandao wanawatukana waasisi wa taifa pamoja na viongozi wakati wenzao wako vijijini wanawatumikia wananchi kwa ukaribu. Unategemea kwenye chaguzi nini kitatokea???
Hadi huruma aisee,,pole sana mkuu karibu kwenye chama baba Lao CCM maana huko Saccoss sasa hivi watakuita Msaliti kisa umepishana kauli na padri mzinzi
Sent from my iPad Air using JamiiForums
Naomba niwasalimie waungana kwenye Uzi huu..,baada ya salamu na naendelea na kuperuzi kwenye thread nyingine...!!!