Yemenikuta! Naona aibu sana

Yemenikuta! Naona aibu sana

Michepuko sio dili.
Katika siku nilizowahi kutia aibu kwenye suala la michepuko basi ni leo.
Huyu binti nmezoeana nae sana, kila siku nlikuwa nikiomba mzigo. Tatizo lake alikuwa ananiahidi tu pasipo kuja. Sasa leo jioni nikachonga nae, kweli mtoto kama masiala hivi tukaondoka. Kufika geto sasa ndo kimbembe kilipo anza.
Mtoto kavua nguo, nikamwandaa fresh, ile kutaka kuvaa condom tu, mzee chali, nikafikiri masiala, nikajaribu kuvuta hisia hamna kitu, mpaka mtoto wa watu kaondoka na nyege zake sijafanikiwa kumgonga. Siamin kilicho tokea,. Mpaka imebidi nimuulize hivi huyo mchumba wako kakuwekea dawa? (maana aliniambia ana mtu wake) yani ilikuwa nikivuta hisia inasimama nikitaka kuvaa condom chali. Naona aibu sana.
Hapa ndipo tatizo lilipoanzia. Wewe unaleta masihara kwenye shughuli inayotaka umakini na utulivu wa akili? Inaonekana ulikuwa unabahatisha tu bila kujiamini kuwa utafanikiwa.
 
Ni kawaida sana hasa demu ukimpania halafu akawa anasumbua-sumbua sana! Siku ukimpata ile hamu naye inakuwa imeshuka sana
 
Bila shaka jamaa kazoea dry hakuna uchawi hapo saikolojia yake tu,
Hapa ndipo tatizo lilipoanzia. Wewe unaleta masihara kwenye shughuli inayotaka umakini na utulivu wa akili? Inaonekana ulikuwa unabahatisha tu bila kujiamini kuwa utafanikiwa.
 
Bora hata umeshindwa maana majirani wangeshuhudia uzinzi wenu na kusababisha bonge la skendo
 
Kila kitu kina mwisho wake chovya huku chovya huko mwili nao unachoka kubadilisha taste kila siku
 
Mambo ya mwanaume anaipigaaa mashine anapiga ni kwamba mwili wangu haukusisimui kabisa au inakuaje khaa hata mimi unanikata stimuu!bwana
 
nimejishanga sana leo sina tatizo, lkn hata hivyo akinitangaza itakuwa kazi bure,coz mtaani kwenyewe wananionaga mm kiwembe.
Ndo watajua kumbe we ni kiwembe usie na makali
haukatiiiiii
 
Ni kawaida sana hasa demu ukimpania halafu akawa anasumbua-sumbua sana! Siku ukimpata ile hamu naye inakuwa imeshuka sana

Hakika mkuu, kibaya zaidi wakati niko nae kitandani na mwandaa nilikuwa naona kama tunacheza tu..
 
duh nakuogopa.... haya mambo hutokea tuu hasa pale unapokuwa umempania sana mwanamke

Kitu kimepata ganzi, mnara umeshindwa kushika network.....
shauri ake anapania kwani inahama hiyo
 
Michepuko sio dili.
Katika siku nilizowahi kutia aibu kwenye suala la michepuko basi ni leo.
Huyu binti nmezoeana nae sana, kila siku nlikuwa nikiomba mzigo. Tatizo lake alikuwa ananiahidi tu pasipo kuja. Sasa leo jioni nikachonga nae, kweli mtoto kama masiala hivi tukaondoka. Kufika geto sasa ndo kimbembe kilipo anza.
Mtoto kavua nguo, nikamwandaa fresh, ile kutaka kuvaa condom tu, mzee chali, nikafikiri masiala, nikajaribu kuvuta hisia hamna kitu, mpaka mtoto wa watu kaondoka na nyege zake sijafanikiwa kumgonga. Siamin kilicho tokea,. Mpaka imebidi nimuulize hivi huyo mchumba wako kakuwekea dawa? (maana aliniambia ana mtu wake) yani ilikuwa nikivuta hisia inasimama nikitaka kuvaa condom chali. Naona aibu sana.

Zinaa ni uchafu.

Acha zinaa, ona sasa, umeshakuwa khanithi kwa zinaa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom