Yawaje sasa mwapeana migongo, kulikoni?

Yawaje sasa mwapeana migongo, kulikoni?

itakuwa ajabu ya nazi kavu kuvunja jiwe atii.
ukishindwa kwa dogo kubwa utaliweza??

gfsonwin endelea kumpasha maana hata mimi Sumu kanivua ushenga na ubaba mkwe...............ati haniamini...........lol
 
Last edited by a moderator:
gfsonwin tumpe Sumu masaa 2 ikiwa kimya basi huyo naye ni mwanamalenga tu...........

Baba mkwe unanipiga sana vita ila kaa ukijua nitakapomsugua binti yako akaniuliza swali ndo itakuwa mwanzo na mwisho wa kukusikiliza wewe. Atajua ulikuwa unamkatazia utamu, utaona kama hata wajukuu zako utaruhusiwa kuwaona.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Straddler Una uhakika na hilo?

Ndio maana yake, kaka. Nimeshuhudia. Wapendanao wanashindwana wenyewe, lawama anatupiwa jirani..ooh fulani ananivunjia nyumba... Ukimuuliza huyo fulani, hana hata habari kwamba anavunja nyumba za watu na pengine hata hao wanaovunjiwa nyumba hawafahamu ni kina nani.

Point is, kama una tatizo na mkeo/mumeo jaribuni kujitizama nyie wenyewe na kutambua mapungufu yenu kisha omba msaada utasaidiwa..
 
kuna watu wana ndoa haina miaka sita lakini kila mtu analala chumba chake, kisa mama keshampata mfanyakazi mwenziwe na anampa vizuri kamjia juu jamaa kila siku ugomvi mwisho jamaa kaona ampishe shetani bora alale chumba cha nje, kwa hiyo unaweza kuona hata mzungu wa nne ni afadhali zaidi.
 
Back
Top Bottom