Yawaje sasa mwapeana migongo, kulikoni?

Yawaje sasa mwapeana migongo, kulikoni?

Sumu inaelekea wewe ni mkono wa birika binti yangu atapata shida ukimchukua....maana hata kumgongea gfsonwin "likes" humgongei kwa maneno yake matamutamu

Natumia simu baba mkwe na simu inasumbua sana kwenye maswala ya "likes". Wanaotumia simu wanaelewa hii kitu. Hadi nitumie laptop.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
jamaa ana mkono mfupi huyu baba simuwez ataniapa ugali a masimango mie staki.

gfsonwin nikueleze nini? Kama mshenga mwenyewe kaniacha Sumu kali hajanipa hata "likes" moja kwa jitihada zote hizi nimeishia kulambishwa maneno matupu...........huyu hakufai itabidi tuvute subira..............mpaka aje mwenye sifa zote siyo hii moja ya kukusugua mara mojamoja akijisikia....................
 
Last edited by a moderator:
Natumia simu baba mkwe na simu inasumbua sana kwenye maswala ya "likes". Wanaotumia simu wanaelewa hii kitu. Hadi nitumie laptop.

Sumu lile tangazo la CRDB walikumbuka? Kama huna VISA MASTERCARD hakuna kiswahili ni nenda kajipange upya.............................khalafu utakapokuwa tayari tuma tena posa.....kama keshachukuliwa na wajanja unaandika maumivu..........
 
Last edited by a moderator:
gfsonwin nikueleze nini? Kama mshenga mwenyewe kaniacha Sumu kali hajanipa hata "likes" moja kwa jitihada zote hizi nimeishia kulambishwa maneno matupu...........huyu hakufai itabidi tuvute subira..............mpaka aje mwenye sifa zote siyo hii moja ya kukusugua mara mojamoja akijisikia....................

Haahaahaaa! Jamani huyu baba mkwe na binti yake wana visa sana. Kweli akunyimae hakwambii sitaki.

happy to be my dad!
love you.
 
Sumu lile tangazo la CRDB walikumbuka? Kama huna VISA MASTERCARD hakuna kiswahili ni nenda kajipange upya.............................khalafu utakapokuwa tayari tuma tena posa.....kama keshachukuliwa na wajanja unaandika maumivu..........

Lawama zote nazielekeza kwako mkwe ndo umesababisha nikamkosa binti yako. Ciello baba yake ni nani?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Haahaahaaa! Jamani huyu baba mkwe na binti yake wana visa sana. Kweli akunyimae hakwambii sitaki.

Sumu sema usikike waweza kuulamba mkono wako ambao ni mkavu?
 
Last edited by a moderator:
Lawama zote nazielekeza kwako mkwe ndo umesababisha nikamkosa binti yako. Ciello baba yake ni nani?

Sumu nisemeje mbona una moyo mwepesi wa kukata tamaa hivyo?
 
Last edited by a moderator:
Mkono wangu unamchuzi, tena wa Kitoga.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

itakuwa ajabu ya nazi kavu kuvunja jiwe atii.
ukishindwa kwa dogo kubwa utaliweza??
 
Usikilize moyo wako gfsonwin. Tatizo unamsikiliza baba wakati umeshakuwa mkubwa. Nitakutimizia mahitaji yako ya mwilini na moyoni laazizi wangu.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Usikilize moyo wako gfsonwin. Tatizo unamsikiliza baba wakati umeshakuwa mkubwa. Nitakutimizia mahitaji yako ya mwilini na moyoni laazizi wangu.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

laazizi funua kwanza pochi yaani muda wote huo like hujatoa, basi hata hela ya vocha inashndikana?
 
Voucher ya elfu hamsini itakutosha kwa leo na kesho?

Back
Top Bottom