LiverpoolFC
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 11,496
- 3,389
Last edited by a moderator:
Ma ana mojawapo ni ile ya kumdharau mtu, vile vile nasikia kama ndani ya nyumba hakuna maelewano btn mume na mke mnalala kila mmoja kugeukia upande wake na mwisho kwa upeo wangu ni ile mwanamke kumpe man 0713... wakati wa ku-do. Sasa mie nilipenda kujua kama kuna maana zingine nyingi na maana halisi ya kumpa mtu MGONGO ni ipi?Kifarutz Hebu tupe ya kwako nasi tutakupa ya kwetu..........
Ma ana mojawapo ni ile ya kumdharau mtu, vile vile nasikia kama ndani ya nyumba hakuna maelewano btn mume na mke mnalala kila mmoja kugeukia upande wake na mwisho kwa upeo wangu ni ile mwanamke kumpe man 0713... wakati wa ku-do. Sasa mie nilipenda kujua kama kuna maana zingine nyingi na maana halisi ya kumpa mtu MGONGO ni ipi?
Ruta, sijui ni mimi tu au na wenzangu pia, kuna wakati najisikia natamani kulala peke yangu kitandani