Yawaje sasa mwapeana migongo, kulikoni?

Yawaje sasa mwapeana migongo, kulikoni?

Rutashubanyuma kwa hilo bed mkipeana migongo ujue matatizo ni makubwa sana, bed zuri kama nn

Franky utashangaa wanaolala hapo ni migongo tu.........na kila siku ni kubweka na lawama.......na suluhu hawatafuti..................................iko shida sana dunia hii..............
 
Last edited by a moderator:
Acha kumwaga Sumu saa hizi.................. gfsonwin kawalenga wanaopeana migongo tu.........kama nawe umo humu basi nd'o hivyo............

Haahaaahaa! Yeye anaona kabisa thread ni fumbo halafu anakuja kuongeza fumbo jingine. LOL! Mimi simpi mgongo.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Rutashubanyuma, naomba nikushauri kwa roho safi tu, ingawa mimi sina taaluma ya ushairi lakini kuna maeneo ambayo kwa uelewa kiasi nadhani unahutaji kuyafanyia kazi. Huwa nasikia kwenye mashairi kuna kitu wanaita vina na mizani, mimi sijui hivi ni vitu gani, maana kama nilivyosema mimi sio mtaalamu wa tasnia hii. lakinnadhani huwa ni ile hali ya sauti kufanana fanana hasa kwenye maneno ya mwisho wa kila mstari nitatoa mfano ili nieleweke:

Yako majina ya vitu, mengine yasiyotajwa,
Yashangaza kuna watu, wenye uovu kujawa,
Waona kuwa si kitu, ni kama wanaolipwa,
Thawabu yako motoni, sikia mwenye matusi.
Mtu sio hayawani, anatumia akili,
Kuboboka hadharani, huwa ni kwake katili,
Matusi siwe kinywani, kama lusu tafadhali,

Mdomo wako ni moto, wewe mja nakwambiya,
Wanena mambo mazito, hutaki kuyawaziya,
Ulimi wako ufito, mwilini wateketeya,

Haya sasa angalia shairi lako hapa chini:

Mlipoanzana sisi, hatukuwepo kabisa!
Mlipotongozana siye hamkutualika!
Mlipokuwa mkibipiana ilikuwa siri yenu!
Mlipokuwa mkikonyezana mlikuwa pweke!
Mlipoanzana kufukuziana hamkutujuza hata!
Yawaje sasa mwapeana migongo,, imekuwaje?

Mlipowekana sawa sote mlitualika!
Mlipovalishana pete ilikuwa karamu!
Mlipovikana vilemba vya ukoka...........
Mlipotumiana posa si mliniita mshenga?
Mlipomiminiana mizawadi mbona furaha?

Miaka kweli haina subira, hupeperuka tu!
Miaka kweli imesonga tangia uushike ufyagio!
Miaka kweli imetupa kisogo tangia uuteme ukapera!
Miaka kweli imeishia tangia ufue na kusuuza kufuli zako!
Miaka kweli haichelei tangia uunguze kidole gumba jikoni!

Ukiangalia tofauti ya mashairi hayo hapo juu utagundua kuwa la kwako lina mistari mitano katika kila beti wakati hilo lingine lina mistari minne, ambayo nadhani ndio sahihi, yaani inakuwa rahisi kuliimba kishairishairi. ukitaka kujua kama shairi lako linaimbika jaribu kuliimba kwa kutumia sauti ya lile shairi maarufu la sungura la sizitaki mbichi hizi.

Sasa hebu ngoja nijaribu kuli editi shairi lako bila kubadili maana yake japo ubeti mmoja tu:

Wakati mkianzana, peke yenu mlikuwa
Ukope mlipigana, penzi lenu likakuwa
Mahaba mlipeana, taarifa hatukupewa
Ya kupeana migongo, ni wapi yametokea

Nawakilisha.

Last edited by a moderator:
Embu muulize, atanipa mgongo au uso?

gfsonwin hebu mjibu mwenzio................ni uso au mgongo......................hakuna jibu la sijui hapo........
 
Lukansola labda nianze na swali la kimsingi kabisa......................nani kakuambia haya ni mashairi?
 
Last edited by a moderator:
Franky utashangaa wanaolala hapo ni migongo tu.........na kila siku ni kubweka na lawama.......na suluhu hawatafuti..................................iko shida sana dunia hii..............
unajua nn watu siku izi hawaangalii life time compatibility bali bed compatibility ndo majanga yanaanzia hapo, sio kila bed mate lazima uoane nae, ukiangalia kitanda ndo ukafanya decision walahi nakwambia mtapeana migongo na kulala mzungu wa nne
 
View attachment 77406View attachment 77407View attachment 77408View attachment 77409
Hicho ni kitanda chako, hakistahili kupeana migongo, lol

Mlipoanzana sisi hatukuwepo kabisa!
Mlipotongozana siye hamkutualika!
Mlipokuwa mkibipiana ilikuwa siri yenu!
Mlipokuwa mkikonyezana mlikuwa pweke!
Mlipoanzana kufukuziana hamkutujuza hata!
Yawaje sasa mwapeana migongo,, imekuwaje?

Mlipowekana sawa sote mlitualika!
Mlipovalishana pete ilikuwa karamu!
Mlipovikana vilemba vya ukoka...........
Mlipotumiana posa si mliniita mshenga?
Mlipomiminiana mizawadi mbona furaha?
Yawaje sasa mwapeana migongo,, imekuwaje?

Miaka kweli haina subira, hupeperuka tu!
Miaka kweli imesonga tangia uushike ufyagio!
Miaka kweli imetupa kisogo tangia uuteme ukapera!
Miaka kweli imeishia tangia ufue na kusuuza kufuli zako!
Miaka kweli haichelei tangia uunguze kidole gumba jikoni!
Yawaje sasa mwapeana migongo,, imekuwaje?

Yaelekea sasa umemchoka na humtaki tena!
Yaelekea sasa umegundua kumbe ni chongo tu!
Yaelekea sasa umetambua havielei hivi hata!
Yaelekea sasa umefumbuka macho, hakuna chenga!
Yaelekea sasa mtaani umeonjeshwa asali na manenge!
Yawaje sasa mwapeana migongo,, imekuwaje?

Zile ahadi na mapochopocho kweli hukumbuki?
Kama kazeeka na wewe je ungali mbichi?
Kama hawaki je na wewe nawe wawaka?
Kama kajiachia na wewe kweli hujioni?
Mbona hivyo walakini wawaka tamaa hivyo?
Yawaje sasa mwapeana migongo,, imekuwaje?

Msianze kutafuta wachawi, ilhali wachawi ni nyie wenyewe
 
unajua nn watu siku izi hawaangalii life time compatibility bali bed compatibility ndo majanga yanaanzia hapo, sio kila bed mate lazima uoane nae, ukiangalia kitanda ndo ukafanya decision walahi nakwambia mtapeana migongo na kulala mzungu wa nne

Franky umepasua bomu.........................yaani bedmate huchomokea kuwa lifemate......................na matokeo yake..............ubedmate wake ukifikia ukomo na hamu nayo imedodomea kabisa...............waishia kupeana migongo.......................it is a tough world...................labda nia huwa nzuri lakini....mvuto na mandhari za awali ndivyo vichochewo vya kukanyagana........
 
Nadhani mkuu Ruta unastahili kuwa malenga wa JF wa mwaka 2012. Hongera sana kwa tunzi zako

Malenga ni mtu gani?

duh nimeappreciate mshairi mwenzangu

Huyu hukumkanusha kukuita mshairi kwa utenzi huu

Power G Nimeona niufunge mwaka 2012 kwa staili hii maana haurudi
tena.......

Hapa umetia msisitizo

Da! What a nice poem!

Poem ni nini kwa kiswahili?

Lukansola labda nianze na swali la kimsingi kabisa......................nani kakuambia haya ni mashairi?

Sasa kama sio mashairi ni nini? naomba nielimishe mkuu, ndo najifunza hivyo.
 
Franky umepasua bomu.........................yaani bedmate huchomokea kuwa lifemate......................na matokeo yake..............ubedmate wake ukifikia ukomo na hamu nayo imedodomea kabisa...............waishia kupeana migongo.......................it is a tough world...................labda nia huwa nzuri lakini....mvuto na mandhari za awali ndivyo vichochewo vya kukanyagana........
umeona eeeh? hapo ndo inabidi mtu uwe patient in a prowl ili upate the compatible ribs that God removed from you in order to make your Eve,....kuzipata mbavu zako ndo mtihani Mungu alotuletea duniani tuukamilishe kaka Rutashubanyuma
 
Last edited by a moderator:
gfsonwin ukipewa mgongo si inaumiza sana...........ehhhhhhhhhhh

saaaaaaaaaaaanaaaaaaaaaaaaaaaa tena saanaaaaaaaaaaaa! inahusu kupeana mgongo??
miye ukitaa twende sawa nitizame kisha nikmbatie nikukumbatie hadi asbh! najiskia furaha na raha ya ajabu nikilala huku napumulia kifuani kwa hubby atii. tena ukute ni siku unalala sana basiii akhuuu! usinibanie lazima mkumbato hadi asbh.
 
mie zangu uso nimekwambia tena je anayo baraza?? asijisifie kwa varanda ya ndani akafikiri itanisitiri mvua. afunguke kwanza lol!

Sumu funguka kwanza mengineyo utajaza baadaye............
 
Last edited by a moderator:
huyu jamaa ni Shaaban R wa JF, dah mashairi tata mpaka mashairi fundisho... hongera sana mkuu, kuza kipaji hiki, wee mkali aiseee
 
Back
Top Bottom