Yawaje sasa mwapeana migongo, kulikoni?

Yawaje sasa mwapeana migongo, kulikoni?

Sometimes people who are thousands of miles away from u can make u feel better than people right beside you...........Tafakari

Dena Amsi very true......always easier loving a distant one whom you are hardly know their frailties............
 
Last edited by a moderator:
kuna watu wana ndoa haina miaka sita lakini kila mtu analala chumba chake, kisa mama keshampata mfanyakazi mwenziwe na anampa vizuri kamjia juu jamaa kila siku ugomvi mwisho jamaa kaona ampishe shetani bora alale chumba cha nje, kwa hiyo unaweza kuona hata mzungu wa nne ni afadhali zaidi.

Mamndenyi....dunia tambara bovu. Hayawi hayawi huwa...........
 
Last edited by a moderator:
kaka kutana na mrisho mpoto utoke maana
kumbe una kipaji,kinaonekana kabisa .

harakat tatizo kwangu ni muda ni punjepunje tu
 
Last edited by a moderator:
Ndio maana yake, kaka. Nimeshuhudia. Wapendanao wanashindwana wenyewe, lawama anatupiwa jirani..ooh fulani ananivunjia nyumba... Ukimuuliza huyo fulani, hana hata habari kwamba anavunja nyumba za watu na pengine hata hao wanaovunjiwa nyumba hawafahamu ni kina nani.

Point is, kama una tatizo na mkeo/mumeo jaribuni kujitizama nyie wenyewe na kutambua mapungufu yenu kisha omba msaada utasaidiwa..

Straddler Wengi wamefikia "a point of no return."
 
Last edited by a moderator:
Baba mkwe unanipiga sana vita ila kaa ukijua nitakapomsugua binti yako akaniuliza swali ndo itakuwa mwanzo na mwisho wa kukusikiliza wewe. Atajua ulikuwa unamkatazia utamu, utaona kama hata wajukuu zako utaruhusiwa kuwaona.

Sumu mbona hujamtumia mwanangu zile buku tano ulizomwaahidi? Hujui ahadi ni deni?
 
Last edited by a moderator:
mkuu Rutashubanyuma mapenzi kizunguzungu mwanzo mnakuwa kwenye dunia nyingine kadri miaka inavyokwenda yanabadilika taratibu hadi kuhama chumba na majina ya kila aina yasiopendeza yale matamu mliokuwa mnaitana hutayasikia lakini sio wote wapo waliobahatika yakaendelea
 
Last edited by a moderator:
Inasikitisha sana, nyumba nzuri, kitanda safi, ukikutana nao mchana unasema hawa wana furaha sana kwenye ndoa yao maana nyuso zina tabasamu utafikiri kweli: ikifika wakati wa kulala kila mtu ana geuka kwakwe!

Asante Rutashubanyuma huu ni ujumbe mzuri!
 
attachment.php

ikifika wakati wa kulala
 
Attachments

  • family planning.jpg
    family planning.jpg
    18.6 KB · Views: 99
mkuu Rutashubanyuma mapenzi kizunguzungu mwanzo mnakuwa kwenye dunia nyingine kadri miaka inavyokwenda yanabadilika taratibu hadi kuhama chumba na majina ya kila aina yasiopendeza yale matamu mliokuwa mnaitana hutayasikia lakini sio wote wapo waliobahatika yakaendelea

Blaki Womani hapo kwenye nyekundu ndipo pananitia matumaini...........lol
 
Last edited by a moderator:
Inasikitisha sana, nyumba nzuri, kitanda safi, ukikutana nao mchana unasema hawa wana furaha sana kwenye ndoa yao maana nyuso zina tabasamu utafikiri kweli: ikifika wakati wa kulala kila mtu ana geuka kwakwe!

Asante Rutashubanyuma huu ni ujumbe mzuri!

Ruttashobolwa yeah..........mali siyo kila kitu............inaweza kuwa chanzo cha majonzi na masikitiko pia........
 
Last edited by a moderator:
Sidhani, Rutashubanyuma..
Kama mapenzi yenyewe hakuwa ya kudanganyana, lazima mtatafutana baadaye.

Straddler nia huwa ni njema lakini baadaye hukutana na changamoto ambazo hawana maandalizi.......
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom